Ulinzi wa Ridhiwan unasababishwa na kwamba yeye ni mtoto wa rais. Ana privilege hiyo kama sehemu ya ulinzi wa familia ya rais mstaafu. Upo hapo?
Halafu kuhusu maandalizi ya kugombea urais , binafsi naona Makamba ndiyo anaandaliwa njia ya kuelekea ikulu. Na uwezo wake wa kiakili ni mkubwa ukiwalinganisha kati yao hao watu 3 (Nape, Ridhiwan na Makamba).