Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

Status
Not open for further replies.
Chadema jifundesheni demokrasia; hivi Ridhiwani amekosa sifa gani ya kugombe? Na kura ndio hiyo hadharani; natumai mzee Edwin Mtei atajifundisha katika hili

MwanaJF Chama,

Samahani sikuelewi. Ridhiwani kashinda kugombea jimbo alilowakilisha babake. Mimi nahusikanaje? Nakuhakikishia akiteuliwa na chama chake, atapambana na mteule wa CDM ambaye anajiandaa mpaka kieleweke!! Hakuna Kulala!!!
 
hiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura muda huu , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga..Zoezi la upigaji kura linaendelea hapa Msata (Chalinze).[/QUOTE]
10003885_688090514588267_809934657_n.jpg

Ngoja naye akaangalie atakapo haribu maana babake kabakiza vichache ambavyo havija haribika
 
hawa ccm majinga sana sijui wanataka kuifanya hii ya kifalme baba raisi mtoto mbunge mama sijui mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa ccm
 
Lazima ashinde pesa hapo imetembeaa, jamanii Chadema wapii! !!!kaokoen jimbo hilo lol
 
Mheshimiwa Mwenyerere nashukuru kwa kuelewa post yangu. Huyu jamaa anadhani kuwa anaweza kukaa juu ya mgongo wa mamba mtoni ili asizame. Sasa hapo naona dalili za utawala wa kisultani zinakaribia hapa Tanzania, Tukianzia kule Iringa na sasa huko Pwani. Nashukuru sana watu wa Arumeru kwa kukataa huu ukiritimba wa kumkandamiza mnyonge. Si ajubu baba mtu akawa mzinduzi wa Kampeni za Mwanawe.

Kila mtanzania ana haki ya kugombea uongozi akiwemo Ridhiwani na popote nchini ikiwemo na chalinze ila ubaya utakuja tu pale babake atakapotumia vibaya madaraka yake kuchakachua kura ili mwanae ashinde. ila km ameshinda kihalali basi anastahili
 
Nchi hii imejaa nepotism , kuna wengine wanapiga kura bila kujali uwezo wa mgombea simply kwa kuangalia umetoka familia ipi
 
Nchi ya ukoo hii.mi natafuta ubalozi wa nyumba kumi,kwenye kura za maoni nitapita kweli.
 
Chadema +CUF lazima mmpige chini huyo dogo kuondoa nchi isiwe ya kifalme
 
HUYU HAPA NDO MNAYEMPA KURA AMBAYE AMESABABISHA KUSINI KUUZWA NA WAMAKONDE KUBAKI BILA CHAO. LEO UNASHABIKIA KANA KWAMBA NI MTU MWEMA ANAINGIA MADARAKANI!!

[h=1]Rais Jakaya Kikwete aiweka nchi rehani kumuokoa mwanae asinyongwe China.[/h]September 7, 2012

Ningumu kuamini lakini ni UKWELI
Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed
Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,
Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.
Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,
Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,
Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.
Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong,
Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.
Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni “Now we are going to Africa”, ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk.
Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.
Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz.
Taarifa hii ni yakweli mimi nilikuwemo kwenye msafara huo,
Hutaki unaacha, hulazimishwi kuamini.

Source ni mimi mwenyewe
Mjinga sana huyu Madega anashindana na mtoto wa mfalme sijui anategemea nini? hata Chadema nawashauri wasipoteze muda wao na resources kwa jimbo hili wawaache Cuf kama wako interested.
 

Matokeo:
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316​
Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-
1.Ndg.Ridhiwani Kikwete,
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu

Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU
Tarehe 11/3/2014 KURUDISHA
Tarehe 15/3/2014UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM




1922466_688078064589512_148624167_n.jpg

1920228_688076701256315_1781797653_n.jpg

1962798_688078337922818_1898229911_n.jpg

1922466_688078064589512_148624167_n.jpg


10003938_688090411254944_622046925_n.jpg

Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura muda huu , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga..Zoezi la upigaji kura linaendelea hapa Msata (Chalinze).
10003885_688090514588267_809934657_n.jpg

10006312_688067811257204_5567078_n.jpg

1654087_688067611257224_1435421213_n.jpg
Mwenye nacho ata.....
 
Sasa sianatakiwa asubili mchujo? Ila yy atapitatu baba ndio kashika kisu! Ila anaweza akamkataa ili kuonyesha demokrasia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom