Wabongo bhana wana matatizo sana angeenda Oxford mngesema 'oooh! Wanasomeshwa ulaya wakikwepa elimu ya bongo magumashi!!!! kaenda Mliman bado mnapepesa ndimi zenu ndomana hatuendelei kwa fitina zenu!!
llm ameishafanya uk. nadhani hapo anapanua wigo wa kuongoza makapuni yake ya mafuta,gesi n maoteli yaliyoko kwenye mbuga za wanyama na mijini na mabiashara mengine ya mzee. (llm corporate mgt ji muafaka kwa bizz zake)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.