Huyu mwuza madawa ya kulevya akishinda Chalinze kwakweli nitawashangaa wapiga kura. Dogo mabilioni yote anayoyakusanya kwenye unga hata barabara moja hajaweza kuijenga, anawaona wanaChalinze kitega uchumi ..... upumbavu mwanzo mwisho
sina uhakika kama familia hii ya mzee wa kaya ina mshauri mzuri katika maswala ya siasa na uchumi kwa jumla. katika hali ya kawaida sidhani kama ilikuwa ni busara kwa kikwete kumkubalia mwanae akagombee ubunge kipindi hiki alitakiwa angalau agombee miaka kumi baadaye na sio sasa.
ninahokiona hapa ni nguvu yapesa na madarka ya baba ok bunge atpata lakini awezi kuwa na heshima sahili kama mbunge watu wataanglia fedha na si yeye