Kaka naweza nikakuambia kitu kimoja tu. Namjua Ridhwan kama Ridhwan na sio tu kama mtoto wa Rais tu kama nimjuavyo Zitto kama Zitto na sio Mbunge maarufu Tanzania pekee. Kuhusu January namjua muda mrefu zaidi kuliko hao wote. Na wote hao naamini kuwa wana vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo na wanapoelekea kushinda hata wengi wetu hapa wenye kuijua Tanzania magazetini na our personal prejudices. There is no way ukaniambia kuwa mtu kama January eti anamtegemea baba yake tu. Mtafute, kaa naye na engage him katika majadiliano halafu ndio ukimbilie kutoa judgement yako. Vilevile fanya hivyo kwa Ridhwan.
omarilyas
Kwahiyo bwana Omar unataka kutuambia hawa vijana ni viongozi wazuri katika kusikiliza mahojiano yao?Nani kakwambia mtu anaweza kuwa kiongozi bora kwa sababu ya mahojiano yake!! Nilifikiri una mifano hai ya kuthibitisha hawa jamaa ni viongozi bora. Kumbe unawatetea kwasababu unajadiliana nao na maongezi yenu yamekufanya uamini ni viongozi makini.Kaka naweza nikakuambia kitu kimoja tu. Namjua Ridhwan kama Ridhwan na sio tu kama mtoto wa Rais tu kama nimjuavyo Zitto kama Zitto na sio Mbunge maarufu Tanzania pekee. Kuhusu January namjua muda mrefu zaidi kuliko hao wote. Na wote hao naamini kuwa wana vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo na wanapoelekea kushinda hata wengi wetu hapa wenye kuijua Tanzania magazetini na our personal prejudices. There is no way ukaniambia kuwa mtu kama January eti anamtegemea baba yake tu. Mtafute, kaa naye na engage him katika majadiliano halafu ndio ukimbilie kutoa judgement yako. Vilevile fanya hivyo kwa Ridhwan.
Kwa kweli nashangaa sana kumuona mtu kama Mbwambo na Ezekiel Kimwaga wanaingia katika uandishi wa aina hii. Angekuwa saidi Kubenea ningeelewa lakini not waandishi makini kama hawa wawili. Nakubali kuwa namjua Mbwambo katika maandishi yake lakini Ezekiel Kimwaga namjua zaidi na kuthamini uwezo na nidhamu yake katika fani yake. Ushwauri wangu ni kama mwanzo. Watafuteni hawa vijana na mjitahidi kuwajua wao na sio katika kioo cha wazazi wao tu....
Maoni yangu hayana uhusiano kabisa na suala la Masauni ambaye nimonana naye mara moja tu na for the first impression I reserve my comments hadi hapo nitakapojua zaidi kuhusu suala lake.
omarilyas
Sawa sawa Mkuu.
Thanks for correction.
Ila labda cha msingi Mwandishi Mbwambo ajue kuwa kuwa hata vitabu vya maandiko vinatufundisha wale wenye nacho ndio wataongezewa. Watu wote maarufu tuwasomao katika Biblia walitoka katika vizazi vyenye majina, Uzao wa Ibrahim ndio ule wa akina Elia, Essau na Yakobo, Mfalme Suleiman, Mfalme Daud, Yoseph Baba Mlezi na baadae YESU wa Nazaret ...
Ni wachache sana wanaohangaika kwa nafsin zao na kufanikiwa. Hata katika utawala wa Nchi tajiri duniani ndio maana unakuta wafalme wakifa kofia inakwenda kwa watoto wao (Uingereza ni moja ya Taifa kubwa la kuwashiwa taa kwa haya).
Kwetu labda watoto wa Nyerere tu ndio wameonekana hawabebeki na Nkaa apa hakuwa na watoto wakubwa wa kuzaa yeye mwenyewe kabla ya kustaafu. Lakini mshaona yale ya akina Lupiyana, na sasa mnaona hata kizazi hicho hicho ndo kinapana fursa (juzi tu Mzee kamteua mtoto wa Malecela kuwa Jaji wa Mahakama Kuu).
Waweza kuona hata Nyerere alikuwa ni mtoto wa Chifu Burito wa Wazanaki (hakuwa kapuku kama tunavyofikiri)akina Joseph Sinde ni Kizazi hicho hicho cha wakulu, , akina Karume , Kawawa, Nnauye, Mwinyi, Kikwete na wengineo nao wanafuata hizo njia. Ukifuatilia kwa kina sana kwenye mfumo mzima wa uongozi na utawala iwe Serikalini, katika Siasa au kwenye Sekta binafis utaona hakuna mtu yupo katika nafasi nyeti pasipo kutumika kwa ufagio nyuma yake wa kumfikisha hapo alipo !.
In my humble opinion, there is nothing wrong to have family dynasties in whatever line they are involved in, be it politics, business, entertainment or anything else. The criteria should be the ability of the individual to perform just as well if not better. Of course with a powerful parent one is already a step ahead of the bunch.
The Makambas and Kikwetes are no different from the Kennedys, Bushes or in entertainment world, the Douglases, the Jacksons etc etc. I don't agree with the premise that just because one has a parent high up in the system, then he should be denied the opportunity to pursue the same line as his parent/s. His education, qualifications and ability should be part of the criteria to be considered. And if he is capable, then so be it.
What pisses me off however, is seeing inept, bumbling, uneducated likes of Amani Karume becoming president of Z'bar despite having clearly lost the early nomination process, but was rammed through Zanzibaris' throats nonetheless!
Politics is politics, it has been and will always be such a dirty game! So if the Makambas and Kikwetes are merely trying to perpetuate the ineptitude machinations of the corrupt CCM, then the Tanzanian people should be smart enough to see them for who they really are. If however it's the other way round, then Hail to The Caeser.....
Mmmhh, hivi mara nyingine watu hufikiri kila mtu ni *****? NItatoa majina ya Bush na Family, Thatchers na Family, Kennedy na family and even Mtei na family.....
Na mimi nitakuonesha njisi wote walivyo hangaika wenyewe binasfi na kufanikiwa. Mfano Goerge W Bush alikwenda kama mara mbili tu ikulu wakati George W.H Bush akiwa Raisi
Kaka naweza nikakuambia kitu kimoja tu. Namjua Ridhwan kama Ridhwan na sio tu kama mtoto wa Rais tu kama nimjuavyo Zitto kama Zitto na sio Mbunge maarufu Tanzania pekee. Kuhusu January namjua muda mrefu zaidi kuliko hao wote. Na wote hao naamini kuwa wana vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo na wanapoelekea kushinda hata wengi wetu hapa wenye kuijua Tanzania magazetini na our personal prejudices. There is no way ukaniambia kuwa mtu kama January eti anamtegemea baba yake tu. Mtafute, kaa naye na engage him katika majadiliano halafu ndio ukimbilie kutoa judgement yako. Vilevile fanya hivyo kwa Ridhwan.
Kwa kweli nashangaa sana kumuona mtu kama Mbwambo na Ezekiel Kimwaga wanaingia katika uandishi wa aina hii. Angekuwa saidi Kubenea ningeelewa lakini not waandishi makini kama hawa wawili. Nakubali kuwa namjua Mbwambo katika maandishi yake lakini Ezekiel Kimwaga namjua zaidi na kuthamini uwezo na nidhamu yake katika fani yake.
Ushwauri wangu ni kama mwanzo. Watafuteni hawa vijana na mjitahidi kuwajua wao na sio katika kioo cha wazazi wao tu....
Maoni yangu hayana uhusiano kabisa na suala la Masauni ambaye nimonana naye mara moja tu na for the first impression I reserve my comments hadi hapo nitakapojua zaidi
kuhusu suala lake
omarilyas
Omari kweli nimekubali akili za kuambiwa changanya na za kwako.....kumbe tunaweza kumwona mtu mmoja lakini kila mtu akawa anamwelewa tofauti. Nilijua unamjua Ridhiwani ndio maana nilikukomalia.....sasa nimejua kuwa kuandika jina lako live kuna mgongano wa maslahi kwenye baaadhi ya hoja. Nakushauri badili jina ili uweze kuondoa mgongano huo
Mix with yours
Kaka ushauri wako nimeuona lakini sikubaliani nao. Inapofika mahala nikaona mgongano huwa nanyamaza kimya lakini sio kutumia majina bandia....That is dishonesty ambayo ni sawa na hao tunaowalalamikia kutufikisha tulipo...
Namheshimu sana Ndugu Mbwambo. Hivyo napenda kumpa zoezi moja. Ajitahidi kuwajua kina Ridhwan na January Makamba kama wao na sio watoto wa "wakubwa" halafu ndio atoe judgment yake. Pia kuhusu suala la Hussein Mwinyi na elimu yake ya udaktari, napenda kuuliza kuwa ni wanasiasa ama viongozi gani na wangapi wamesomea sayansi ya siasa ama utawala? Hivi hakuna wahandisi ambao ni mawaziri tena wa wizara tofauti na elimu zao? Hivi kaka Mbwambo katika maisha yake yote amefanya kazi ile tu inayoendana na elimu ama fani aliyosomea tu? Lakini pia yeye kama mwandishi asingependa kuona mwanawe mmojawapo anakuwa muandishi na akapata mafanikio kama yeye? Lakini pia anaposema kuwa wazungu hawapendi kubebwa anaamini hivyo ama ni njia ya kurembesha maandiko yake? Hivi kweli mfano wa mtoto wa Buffet ambaye baba yake anajulikana duniani kote kuwa ni tajiri asiye na makuu ndio uwe mfano wa wazungu wote?
Ni hayo tu...
Omarilyas
Omari kweli nimekubali akili za kuambiwa changanya na za kwako.....kumbe tunaweza kumwona mtu mmoja lakini kila mtu akawa anamwelewa tofauti. Nilijua unamjua Ridhiwani ndio maana nilikukomalia.....sasa nimejua kuwa kuandika jina lako live kuna mgongano wa maslahi kwenye baaadhi ya hoja. Nakushauri badili jina ili uweze kuondoa mgongano huo
Mix with yours
Huyo omarilyas "anajiamini" kwa hayo anayosema by virtue of his capacity as Salim Ahmed Salim's Personal Assistant. Kwa hiyo, anataka watu wote wawe na imani naye sababu anafahamiana na watoto wa vigogo kutokana na wadhifa wake huo.
Ameshindwa kabisa kuorodhesha "vigezo tosha" anavyodai hao aliowataja wanavyo kuonyesha kweli wanastahili nafasi za uongozi.
Nahisi kwamba kuandika majina halisi siyo ushujaa bali ni kuwinda hiyo nepotism ikuone kwa wema nawe ujulikane kwa 'uliniteteta bwana'