Ridhiwan Kikwete: Makampuni ya simu wizi mtupu

Ridhiwan Kikwete: Makampuni ya simu wizi mtupu

Mwambieni huyo Mh. Rizione aje kule kijijini kwetu - kibaha kwa mfipa mabomba yana mwaka hayatoi maji kisa
serikali inangojewa kupitisha umeme ili uweze kusukuma maji; kule tupo siriaz tutapitisha upinzani.

Umehamia Kibaha lini maana ulishawahi kujinadi ni mkazi wa Ubungo na ukamlaumu Mh. Mnyika kuwa hauogi sababu hajakuletea maji?.....sasa umeibukia kibaha tena napo kuna matatizo ya maji kwanini unayapenda maeneo yenye matatizo ya maji????
 
Nauliza tuu kwani yeye hana kampuni ya cm?? nauliza tuu maana nasikia anahisa kwenye makampuni mengimengi tuu.. Hii hana?
 
nimechukizwa na namna alivyompongeza makamba ilhali yeye ndo mwenyenyumba
 
nafikiri kila siku ana priviledge yakuwasiliana na baba yake amabaye ndio mkuu wa serikali kwanini asimwambie mambo kama haya?

kuna siku bungeni alisema TRA wanagawa ajira kindugu

huu ni unafiki wa hali ya juu
 
Analalamika wizi wa makampuni ya simu wakati serikali ya baba yake inayapa ruzuku makampuni hayo hayo ya Wizi.
 
Kote ni nyumbani; ila kwa sasa nipo kibaha;
Maji hakuna ila bomba kubwa limepita pale.
Umehamia Kibaha lini maana ulishawahi kujinadi ni mkazi wa Ubungo na ukamlaumu Mh. Mnyika kuwa hauogi sababu hajakuletea maji?.....sasa umeibukia kibaha tena napo kuna matatizo ya maji kwanini unayapenda maeneo yenye matatizo ya maji????
 
Acha hizo mkuu, kwani Riz1 yuko bungeni kama 'independent entity' au kwa sababu 'baba ni rais'? Au unamuonea kwa sababu katika kampeini zake 1st Ledi alisimama jukwaani na kuwaomba wapiga kura kumchagua mwanae!?

Yupo hapo alipo kwa sababu tu Baba ni Rais
 
Kila sekta nchini imekuwa na vurugu za rushwa na kukosa uwajibikaji. Tunahitaji reforms kwenye sekta zote.
 
wee riziwani ongea na mshua...huku hari sii shaur...simu zakichuna ukinuua leo kesho unaenda kunuua betri mambo gani hayooo...
 
Back
Top Bottom