Ridhiwan Kikwete: Makampuni ya simu wizi mtupu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,534
Alikuwa akichangia bajeti ya mawasiliano na kusema wananchi wa kawaida ni kama wanaibiwa kwani MB 8 huwezi kutumia kwa jambo lolote la msingi. Pia amempongeza January Makamba kwa kuasisi shirikisho la vijana wa vyuo vikuu wa CCM! source Bungeni leo
 
kweli makampuni ya simu ni wezi wakubwa lakini serikali ya baba yake si ndio imeachia hayo mambo yawepo wamezidiana kete nini
Acha hizo mkuu, kwani Riz1 yuko bungeni kama 'independent entity' au kwa sababu 'baba ni rais'? Au unamuonea kwa sababu katika kampeini zake 1st Ledi alisimama jukwaani na kuwaomba wapiga kura kumchagua mwanae!?
 
haa haa hili la mb 8 naunga mkono kinachonishangaza ni unafiki wake wa kumpongeza makamba. wakati huyo ndo source ya hayo yote na yule mzanzibar aitwaye mbalawa.
 
kama wafanya maamuzi wanalalamika, wananchi wanalalamika sioni mwanga.
Alipaswa aje na writting/yenye kupendekeza suluisho.

haiwezekani uamke asubuhi ukute makampuni yote ya simu yamekubaliana kitu kimoja. 8mb bila watawala kujua.
 
Acha hizo mkuu, kwani Riz1 yuko bungeni kama 'independent entity' au kwa sababu 'baba ni rais'? Au unamuonea kwa sababu katika kampeini zake 1st Ledi alisimama jukwaani na kuwaomba wapiga kura kumchagua mwanae!?

Ndio ukweli yupo kama independent entity rpresenting chalinze alichose ni kweli makampuni ni wezi na ymeruhusiwa na serikili ya baba yake
 
eti ni kweli charges zimepanda kwasababu dollar imeongezeka thamani na makampuni ya utoaji huduma za simu na internet hulipa kwa dollar?

sasa mbona ni MB peke yake imepungua kupita kiasi, mbona dakika hazijapungua kiasi hicho?
 
Alikuwa akichangia bajeti ya mawasiliano na kusema wananchi wa kawaida ni kama wanaibiwa kwani MB 8 huwezi kutumia kwa jambo lolote la msingi. Pia amempongeza January Makamba kwa kuasisi shirikisho la vijana wa vyuo vikuu wa CCM! source Bungeni leo

ajue pia hata mikataba ya gasi ni wizi mtupu,
 
Alikuwa akichangia bajeti ya mawasiliano na kusema wananchi wa kawaida ni kama wanaibiwa kwani MB 8 huwezi kutumia kwa jambo lolote la msingi. Pia amempongeza January Makamba kwa kuasisi shirikisho la vijana wa vyuo vikuu wa CCM! source Bungeni leo
Hauzidi ule wa Richmond na EPA? Na ile miradi yake sio wizi?
 
Mwambieni huyo Mh. Rizione aje kule kijijini kwetu - kibaha kwa mfipa mabomba yana mwaka hayatoi maji kisa
serikali inangojewa kupitisha umeme ili uweze kusukuma maji; kule tupo siriaz tutapitisha upinzani.

Alisema atawaletea Ma-Tractor bado hayajafika?Duh.........Mtani ningekushauri Ugombee UBUNGE kwa chama chochote cha UPINZANI maana tukipewa nafasi tunaweza.Mimi nitakuja kukupigia kampeni ASAP.

Kwa sasa twende na hii SHAHADA ya KURA TALAKA KWA MAGAMBA:whoo::whoo::whoo:
 
Hili toto linafki sana kama ba....yake
 
Mwambieni huyo Mh. Rizione aje kule kijijini kwetu - kibaha kwa mfipa mabomba yana mwaka hayatoi maji kisa
serikali inangojewa kupitisha umeme ili uweze kusukuma maji; kule tupo siriaz tutapitisha upinzani.

Serikali sikivu imekusikia.
 
Something is very wrong: Yaani mtoto wa Rais analalamika kuwa wanaibiwa? Huyo ndo kampeni Manager wa Membe!!! January nae anautaka urais wakati ameshindwa kuyasimamia hayo makampuni ... Hapa Jembe ni Lowassa pekee mwenye maamuzi ya ukweli ...
 
Back
Top Bottom