mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
Ninachojua ni kuwa Ridhiwani anafanya kazi IMMMA Advocates na Masha ni miongoni mwa wakuu wa kampuni hiyo. Hiyo inaweza kujenga mazingira ya uswahiba na kubebana. Nikune nikukune.Udaku huo, aliye mpendekeza Masha ni Lowassa sio RizOne. Labda Hawa Ghasia ndio kapendekezwa na mama Salma!
Ninachojua ni kuwa Ridhiwani anafanya kazi IMMMA Advocates na Masha ni miongoni mwa wakuu wa kampuni hiyo. Hiyo inaweza kujenga mazingira ya uswahiba na kubebana. Nikune nikukune.

Waziri wa zamani wa mambo yandani Lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia:sad:
Safari hii Cabinet itatengenezwa jikoni kwa mama :Jakaya na Ridhiwani wakiwa wamekalia mkeka!!Usije ukashangaa wale waliokosa kwenye kura za maoni ndio wakateuliwa ubunge na kuukwaa uwaziri!! Mtakuja kunikumbuka kuwa niliwaambia.
Waziri wa zamani wa mambo yandani Lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia:sad:
yule mbega wa iringa kwanza yeye ni uhakika tayari.si unakumbuka ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro? unafikiri ataachwa?hell no
mkuu hii ni tetesi,kweli au udaku.
Mkuu umenichekesha mno ulipotaja tu mbega mimi akili yangu ikaenda kwa wale ngedele wenye manyoa meupe marefu,kumbe unamzungumzia yule mama.