Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
823
1,335
Waziri wa zamani wa mambo yandani Lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia:sad:
 
I wouldn't be surprised if this turned out to be true. CCM is a corrupt party after all.
 
Udaku huo, aliye mpendekeza Masha ni Lowassa sio RizOne. Labda Hawa Ghasia ndio kapendekezwa na mama Salma!
 
Nadhani hamna data ,Masha ni mpiga debe wa bana nkubwa tangu akiwa foreign ,maana alikua anamuunganishia pipe za ukweli na jamaa anaenda kubandua mamtoni .hawa ni ma best sana ...hata huyo mkuu wa Uhasama wa nchi pia ni mtu wake sana ,kipindi yuko UK tulikua tunamuona sana wanakula bata wote viwanja hapa !
 
Udaku huo, aliye mpendekeza Masha ni Lowassa sio RizOne. Labda Hawa Ghasia ndio kapendekezwa na mama Salma!
Ninachojua ni kuwa Ridhiwani anafanya kazi IMMMA Advocates na Masha ni miongoni mwa wakuu wa kampuni hiyo. Hiyo inaweza kujenga mazingira ya uswahiba na kubebana. Nikune nikukune.
 
RizOne alikua IMMA before JK hajawa raisi ndio ,internshhip pia alifanyia pale, ila aliye mvuta Masha ni Lowassa sio JK .
 
Ninachojua ni kuwa Ridhiwani anafanya kazi IMMMA Advocates na Masha ni miongoni mwa wakuu wa kampuni hiyo. Hiyo inaweza kujenga mazingira ya uswahiba na kubebana. Nikune nikukune.

Alikuwa anafanya kazi au anafanya kazi mapaka sasa?:doh:
 
Waziri wa zamani wa mambo yandani Lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia:sad:

  • Hii sio tetesi! ni kweli 110%, nawasilisha!stay tuned for the rest! thank you!!
 
Safari hii Cabinet itatengenezwa jikoni kwa mama :Jakaya na Ridhiwani wakiwa wamekalia mkeka!!Usije ukashangaa wale waliokosa kwenye kura za maoni ndio wakateuliwa ubunge na kuukwaa uwaziri!! Mtakuja kunikumbuka kuwa niliwaambia.
 
yule mbega wa iringa kwanza yeye ni uhakika tayari.si unakumbuka ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro? unafikiri ataachwa?hell no
 
Waziri wa zamani wa mambo yandani Lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia:sad:

Mmh! kazi kwelikweli!
 
yule mbega wa iringa kwanza yeye ni uhakika tayari.si unakumbuka ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro? unafikiri ataachwa?hell no

Mkuu umenichekesha mno ulipotaja tu mbega mimi akili yangu ikaenda kwa wale ngedele wenye manyoa meupe marefu,kumbe unamzungumzia yule mama.
 
Hatushhangai maana hata CCM wenyewe walimsusia kampeni afanYe na familia yake baada ya kuwajibu kuwa suala la uraois ni la kwake na famia yake. Sasa tuuone kama atatekeleza sera za CCM kwa kupitia familia maskini ya msoga
 
mkuu hii ni tetesi,kweli au udaku.

Hujui Ridh 1 anafanya kazi ya uwakili katika ofisi ya Marsha, so wana Law of chamber ya Marsha IMMA advocates ambapo Ridh 1 ameajiriwa, sasa what do you think, this is direct relation, no dought, yaani we acha tu,
 
Mkuu umenichekesha mno ulipotaja tu mbega mimi akili yangu ikaenda kwa wale ngedele wenye manyoa meupe marefu,kumbe unamzungumzia yule mama.

Usishangae jina linabeba maana nzima ya mtu most of time, mbega ni mbega tu, ataruka hapa, mara pale, look hata porini ni hivyo hivyo, sasa huyu mbega mara Mkuu wa mkoa mara Mbunge yaani tabia zile za misituni, ila iringa wakasema hawadanganyiki
 
Waziri wa zamani wa mambo yandani Lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia:sad:
PHP:

PHP:

Mambo mengine muwe mnafkiri kutuletea hapa sio wote fkra zetu finyu kiasi hicho rais ana baraza la ushauri sio pekeake anaamua kumpa mtu uwaziri au cheo kikubwa serikalini pia chama tawala kina barazakuu linahusika katika ZOEZI wewe vipi kama unashuki na JK usihusishe mambo mengine au kama unasikia vijiweni uwe unauliza ujue ndo ulete hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom