Alaine bado anasimama kuwa mkali zaidi
1. Ana unique voice
2. Ni video queen
3. Anajua sana ku-swing
4. Ana vionjo hasa anapofanya featuring na mwanamuziki mwingine anaeimba riddim, Rejea kwenye track yenye jina Forever-Alaine ft.Tarrus Riley.
Alaine yupo juu mkuu. Sauti yake inambeba sana tofauti na cecile. sikiliza vizuri Changes Medley riddim umsome vizuri. Alaine anaweza akaimba bila riddim nabado akaukonga moyo wako.
ahaa wapi labda kama una sababu nyingine lakini kiukweli alaine ni mkali sana, i wonder why alivyokuja bongo watu kama steve R&B wameshindwa kwenda nae sawa maana at least steve alijitahidi kwenye jambo jambo kitu ambacho angetulia angefanya hata remix na kuuza both ndani na nje ya bongo!!!lakini huoni pia Cecile ana sauti fulani kama nzito ambayo inaupa utamu zaidi muziki wake,Alaine sauti yake ni nzuri lakini naona kama sio tamu sana kwenye Riddim
ahaa wapi labda kama una sababu nyingine lakini kiukweli alaine ni mkali sana, i wonder why alivyokuja bongo watu kama steve R&B wameshindwa kwenda nae sawa maana at least steve alijitahidi kwenye jambo jambo kitu ambacho angetulia angefanya hata remix na kuuza both ndani na nje ya bongo!!!
Hivi Cecile ni wa kupinzana na Alaine kweli? wacha matusi bana!
Rejea kolabo za Cecile na Sean Paul, Tafari, Calcious etc. :bange:
Wanaomtaja Alaine wanafata kuvuma kwake huku kwa muda
A real artist is constant through time, nyimbo haziishi utamu
Wote ni wanamuziki kutoka Jamaica,wanaimba muziki ambao una ladha nzuri kabisa sweet reggae/riddim,binafsi napata wakati mgumu kujua nani mkali kati yao.
Chini ni baadhi ya nyimbo za kila mmoja wao;
ALAINE.
Amazing
Still smilin
Stronger
You are me
Without you
CE'CILE
when you are gone
Life is so precious
Upgrade
Anything
Promise
If you love me
Naam kwa baadhi hizo nyimbo na nyingine uzijuazo tuambie nani mkali au ngoma droo