That is what it means to darling of west...ambao wewe unasema we cannot do without them..unachanganya comment zako...ndugu nchi hii itajengwa na watanzania kama india, china na malaysia zilivyojengwa na wao wenyewe..si lazima ujipendekeze kwa hao wezi wazungu ..Anawakaribisha bila kujiridhisha na uhalali wa Kampuni yenyewe? Anyway, uwekezaji wenyewe nako ni "wizi in disguise", if you like! Mkapa mwenyewe anajuta kuwaalika wezi (jina zuri la wawekezaji) kuja kupora rasilimali zetu! Wakati Mkapa anajutia vitendo hivyo JK yuko busy kuwaalika wezi kuja kuendeleza uporaji! Hivi watu kabla ya kuingia Ikulu huwa wanaacha akili zao nje ya Ikulu na kuzirudia wakati wanatoka huko? Simwelewi kabisa JK kwa kuwaalika wezi kuja kupora mali zetu!
Kama Spika 6 ni msafi katika kuwasiliana na Kampuni hewa na kukaribishwa lunch na mmiliki wake, basi sioni sababu ya kumlaumu Rostam kwa kuwa anwani yake ilitumiwa na kampuni hiyo! Ni sawa na kumlaumu Hoseah kwa ripoti yake na kuisifu ile ya Mwakyembe pamoja na kwamba aliliambia taifa kwamba kuna mambo aliyaacha (haijulikani ameyahifadhi kwa ajili ya familia yake au kwa ajili ya kutumia kama fimbo ya kisiasa wakati utakapofika)! Tusiwe makengeza pindi tuhuma zinapoanza kuchukua mkondo mpya! Tupigane na ufisadi kama ulivyo na sio kupigana na watu (we against them)!

Inaonekana nguvu iliyo tumika kwenye Chama na Bungeni kumthibiti Sitta, bado haitoshi , sasa nguvu za mafisadi zimeelekezwa kwenye magazeti na kwenye Blog, kweli sitta anawanyima usingizi Mafisadi.Anawakaribisha bila kujiridhisha na uhalali wa Kampuni yenyewe? Anyway, uwekezaji wenyewe nako ni "wizi in disguise", if you like! Mkapa mwenyewe anajuta kuwaalika wezi (jina zuri la wawekezaji) kuja kupora rasilimali zetu! Wakati Mkapa anajutia vitendo hivyo JK yuko busy kuwaalika wezi kuja kuendeleza uporaji! Hivi watu kabla ya kuingia Ikulu huwa wanaacha akili zao nje ya Ikulu na kuzirudia wakati wanatoka huko? Simwelewi kabisa JK kwa kuwaalika wezi kuja kupora mali zetu!
Kwani hapo kunatatizo? sioni kama hapo kuna tatizo lolote, yawezekana aliwasiliana na richmond yenyewe siyo hii uchwara ya tz
hivi unavyo sema Sitta is in for it kwenye suala la Scandal ya kuleta umeme nashindwa kukuelewa au wewe unazungumzia Richmond as Richmond, hutofautishi ile ya uwekezaji way back 2001 na hii ya kufua Umeme?ushabiki na umaskini wa watu wa aina yako ndo unaipeleka hii nchi pabaya..Richmond yenyewe ndo ipi?na Richmonf uchwara ndo ipi?Gire huyo huyo aliyeleta richmond unayoita uchwara ndo alimuandikia Sitta..acheni ushabiki wa hovyo hovyo..kwa kifupi Sitta he is in for it
hivi unavyo sema Sitta is in for it kwenye suala la Scandal ya kuleta umeme nashindwa kukuelewa au wewe unazungumzia Richmond as Richmond, hutofautishi ile ya uwekezaji way back 2001 na hii ya kufua Umeme?
Any way naomba ukasome remoteness of Damages, utaelewa ni jinsi gani Sitta alivyo mbali na issue hii. Au google tu hilo neno, maelezo yakitoka soma.
Inaonekana nguvu iliyo tumika kwenye Chama na Bungeni kumthibiti Sitta, bado haitoshi , sasa nguvu za mafisadi zimeelekezwa kwenye magazeti na kwenye Blog, kweli sitta anawanyima usingizi Mafisadi.
Naona sasa hata issue ya pango la nyumba ni hao hao mafisadi wamemtegeshea ili wawe na mahali pa kuanzia. Na mengi yanayo mtokea sitta kwa sasa ni mbinu chafu za mafisadi ili mwisho wa siku wawe ngoma draw na Spiki , ili akose morale authority ya kuwasema au kusimamia Ukweli.
Kula sita ndugu... Hawa jamaa hawaelewi kabisaaaaa........... Siyo kila aliyewasiliana na Richmond alishiriki kwenye huo ufisadi. Cha msingi ni kuangalia uliwasiliana na hiyo RICHard Monduli lini na ukiwa na nia gani. Kwa nafasi ya sitta na mwaka aliowasiliana na hao ndugu wala haitii shaka.Kigogo,
Mkuu wangu weee.... Haihusu!
Sisi tunazungumzia issue na sii Sitta mwenyewe. haya maswala ya mapenzi yametoka wapi tena kama sio chuki yako mwenyewe. Mkuu hakuna ushahidi hata wa kutunga unajionyesha wazi kwamba Sitta alihusika na deal la Richmond..Richmond ilianzishwa 2003 kama shirika (wanavyodai kina Gire), na Tatizo la Umeme limetokea mwaka 2005 na tender wamepewa Richmond mwaka 2006, Sitta hakuwa hata mjumbe ndani ya vikao vyote vilivyotoa tender hiyo..Ebu wewe tu connectie hizo dots!
Inahusiana vipi na mawasiliano ya Sitta/Gire mwaka 2001 hadi 2002!..
Tunachagua kwa curent merit, sio past legacy, nikikuuzia sera za kwenye ilani yangu, ukanikubali, hii ijajustfy kunichangua, issue ni kama nikishindwa kutekeleza kile nilichoahidi. JK bado hajashindwa ila amechelewa kidogo tuu, hiyo miaka mitano ijayo tutampa tena ili amalizie na kuacha legacy.
Legacy ya Nyerere ni Freedom na Unity
ya Mwinyi ni Mzee wa Ruhksa
Ya Mkapa ni Mr Clean
Tusubiri ya ya JK aka Mr. Trips.
Kigogo,
Mkuu wangu weee.... Haihusu!
Sisi tunazungumzia issue na sii Sitta mwenyewe. haya maswala ya mapenzi yametoka wapi tena kama sio chuki yako mwenyewe. Mkuu hakuna ushahidi hata wa kutunga unajionyesha wazi kwamba Sitta alihusika na deal la Richmond..Richmond ilianzishwa 2003 kama shirika (wanavyodai kina Gire), na Tatizo la Umeme limetokea mwaka 2005 na tender wamepewa Richmond mwaka 2006, Sitta hakuwa hata mjumbe ndani ya vikao vyote vilivyotoa tender hiyo..Ebu wewe tu connectie hizo dots!
Inahusiana vipi na mawasiliano ya Sitta/Gire mwaka 2001 hadi 2002!..
That is what it means to darling of west...ambao wewe unasema we cannot do without them..unachanganya comment zako...ndugu nchi hii itajengwa na watanzania kama india, china na malaysia zilivyojengwa na wao wenyewe..si lazima ujipendekeze kwa hao wezi wazungu ..