Ndg. Wana JF tumekuwa tukishuhudia jinsi sakata hili la kuhalalisha ununuzi wa mitambo hii ambayo ilipelekea Ndg. Lowasa na wengineo kujiuzuru madaraka waliyokuwa nayo. Kumekuwa na juhudi za nguvu na za makusudi kuuza mitambo hiyo kwa kampuni ya Tanesco ingawaje Bunge lililomaliza muda wake 2010 lilipinga. Tumeshuhudia pia kunapokuwa na tatizo la umeme wenye kampuni hiyo wamekuwa wakihaha mpaka kutaka taratibu za manunuzi ya vitu chakavu ibadirishwe.
Kitendo cha Richmond kuhamisha umiliki wake kwenda Dowans Mitambo ambayo ilikuwa na Utata hakina tofauti na Money Laundering:
Defn:"Money laundering is the practice of disguising the origins of illegally-obtained money. Ultimately, it is the process by which the proceeds of crime are made to appear legitimate. The money involved can be generated by any number of criminal acts, including drug dealing, corruption, accounting and other types of fraud, and tax evasion.The methods by which money may be laundered are varied and can range in sophistication from simple to complex.
Kitendo cha Hillal Clinton Kuja Tanzania na Kutembelea Mitambo Hii kana kwamba hajui Sakata hili linamaaisha Nini kwa siasa za Tanzania hapo baadae?
Nanukuu na soma hapa "According to a 2009 U.S. Department of State (DoS) International Narcotics Control Strategy report, Tanzania is characterized by weak anti-money laundering (AML) and combating the financing of terrorism (CFT) regulatory and supervisory framework, in particular with regards to financial institutions and law enforcement capabilities".
Wana JF: Kitendo cha mama huyu kutembelea mitambo hii ambayo kwa waliokuwa na mamlaka nayo kimedhalilisha bunge letu ambalo tangu mwanzo limekuwa mwiba mkali kwa umiliki wake na jinsi ilivyogharimu pesa ya walipa kodi wa Tanzania. Napendekeza Wabunge wetu wahoji nini kimepelekea dharau hii na hawa wamiliki wapya ni lazima tununue umeme kwao? Kitendo hiki ni njia mojawapo ya kuhararisha Money Laundering katika nchi yetu.Nawasilisha kwa maoni zaidi.