and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,114 Nov 19, 2022 #1 Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!
T tutunfyekyela JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 473 Reaction score 785 Nov 19, 2022 #2 Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Ndiyo nani? Alikua anagombea nafasi gani? Mkoa gani?
Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Ndiyo nani? Alikua anagombea nafasi gani? Mkoa gani?
I Irrigation Member Joined Nov 16, 2022 Posts 12 Reaction score 11 Nov 19, 2022 #3 tutunfyekyela said: Ndiyo nani? Alikua anagombea nafasi gani? Mkoa gani? Click to expand... Haha 🤣🤣
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,302 Nov 19, 2022 #4 Mwanaume kuwa na wivu kwa mwanamke asiyekuhusu inashangaza sana. Kwamba unamuonea wivu wolper kuolewa daah mkuu pole sana.
Mwanaume kuwa na wivu kwa mwanamke asiyekuhusu inashangaza sana. Kwamba unamuonea wivu wolper kuolewa daah mkuu pole sana.
M MUSINGA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,072 Reaction score 1,266 Nov 19, 2022 #5 Acheni maneno machafu kwa watu msowajua zaidi ya kuwasikia tu….hilo bomu Ritchie analijua na ndo ashaamua kulikumbatia jinyonge sasa!
Acheni maneno machafu kwa watu msowajua zaidi ya kuwasikia tu….hilo bomu Ritchie analijua na ndo ashaamua kulikumbatia jinyonge sasa!
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,767 Reaction score 17,800 Nov 19, 2022 #6 Kuna watu mna wivu sana. Ya kwenu yamewashinda mnataka ya wenzenu yavurugike
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,566 Reaction score 94,827 Nov 19, 2022 #7 Ndo Chaguo lake. Wivu unakusumbua
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,143 Nov 19, 2022 #8 Numbisa said: Mwanaume kuwa na wivu kwa mwanamke asiyekuhusu inashangaza sana. Kwamba unamuonea wivu wolper kuolewa daah mkuu pole sana. Click to expand... Mkuu
Numbisa said: Mwanaume kuwa na wivu kwa mwanamke asiyekuhusu inashangaza sana. Kwamba unamuonea wivu wolper kuolewa daah mkuu pole sana. Click to expand... Mkuu
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,829 Nov 19, 2022 #9 Maisha ni kujilipua....unaweza kuwa na zali na usilipuke
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Nov 19, 2022 #10 Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Nyuki hakumbatiwi
Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Nyuki hakumbatiwi
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,732 Nov 19, 2022 #11 mwanaume mzima unaleta umbea usio na kichwa wala mkia tena kwa mwanamke,emu twambie amekumbatia bomu kivipi au mama P ni mchepuko wako? Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume mzima unaleta umbea usio na kichwa wala mkia tena kwa mwanamke,emu twambie amekumbatia bomu kivipi au mama P ni mchepuko wako? Sent using Jamii Forums mobile app
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Nov 19, 2022 #12 kingunebe said: mwanaume mzima unaleta umbea usio na kichwa wala mkia tena kwa mwanamke,emu twambie amekumbatia bomu kivipi au mama P ni mchepuko wako? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pisi kali acha jazba
kingunebe said: mwanaume mzima unaleta umbea usio na kichwa wala mkia tena kwa mwanamke,emu twambie amekumbatia bomu kivipi au mama P ni mchepuko wako? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pisi kali acha jazba
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,065 Nov 19, 2022 #13 Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Mkuuu hapa JF wanaonangwa ni Wazaramo na Wasukuma lakini ukimsema Mchagga utaaambulia mashambulizi.
Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Mkuuu hapa JF wanaonangwa ni Wazaramo na Wasukuma lakini ukimsema Mchagga utaaambulia mashambulizi.
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,732 Nov 19, 2022 #14 Abdallah_Kichwaz said: Pisi kali acha jazba Click to expand... hamna kwa nini awanenee mabaya as ye anamjua sana bibie Sent using Jamii Forums mobile app
Abdallah_Kichwaz said: Pisi kali acha jazba Click to expand... hamna kwa nini awanenee mabaya as ye anamjua sana bibie Sent using Jamii Forums mobile app
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,364 Reaction score 21,442 Nov 19, 2022 #15 Wolper huyu huyu waliyesema ananuka papai? Ama kweli chungu kwako tamu kwa mwenzio .
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 9,810 Reaction score 14,049 Nov 20, 2022 #16 Shimo halijai wala halina makombo. Yeye apambane tuu na goma lake.
Yuzzo2050 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 324 Reaction score 668 Nov 20, 2022 #17 Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Huuu ndo uchawi wenyewe...wabongo acheni roho mbaya
Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Huuu ndo uchawi wenyewe...wabongo acheni roho mbaya
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Nov 20, 2022 #18 Konde boy ana hali gani?
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,154 Nov 20, 2022 #19 Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Atatiwa madole mpaka akome
Juma1967 said: Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi! Click to expand... Atatiwa madole mpaka akome