Richard Rwezaula

Wewe ni jinsia gani unamiss mwanaume. Hili neno lina ukakasi hata kama lina maana sahihi
Mimi 'me' sishahabikii masuala hayo unayofikiria kwangu ni najisi sana kwa mujibu wa imani yangu. Hapa mkuu huyu jamaa alikuwa rafiki yangu sana! Tumepotezana miaka 7 sana namtafuta sijui yuko wapi? Ya Mungu mengi!
 
Yaani miaka 7 tu unamtafuta mtu JamiiForums? Wahaya bana!!!
Wee vipi? Kumtafuta mtu mliyepotezana kuna uhusiano gani na kabila la mtu? Wee wa wapi? Nina wasiwasi wewe ni mkimbizi na unaishi kama mlaaniwa peke yako! Huna mke, huna mtoto, Huna rafiki, wewe ni mtu wa kukataliwa na mwisho wewe ni chizi!
 
Kwa maneno haya nimeshapata majibu kwamba wewe ni SHOGA unapelekewa moto!! Endelea kummiss mwanaume mwenzako!
 
Alikuwa HR Bukoba .Alinambia anaishi Mbezi beach ila an nyumb Morogoro.sem ni mtu wa fix fix hivi.
Hahahahah! Hilo la mbezi beach fix! Ndio ana nyumba moro! Bukoba uenda kuna ukweli kwasababu binti yaka alikuwa anasoma kaizilege olevel
 
Lipia bango Yale makubwa Moja weka pale daraja la ubungo lapili liwekwe hii njia ya science kijitonyama na makumbusho...... hopefully utampata🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
 
Wee vipi? Kumtafuta mtu mliyepotezana kuna uhusiano gani na kabila la mtu? Wee wa wapi? Nina wasiwasi wewe ni mkimbizi na unaishi kama mlaaniwa peke yako! Huna mke, huna mtoto, Huna rafiki, wewe ni mtu wa kukataliwa na mwisho wewe ni chizi!
Unaandika maneno mengi na yasiyokuwa na maana mpaka unapoteza maana ya content nzima uliyokusudia mwisho watu wakuhisi vibaya bure.
 
Back
Top Bottom