Mhavile alikua akikaimu ukurugenzi the guardian, leo kapatikana ceo mwingine Richard Mgamba aliekua mhariri wa the citizen ndo anakua boss mpya.

Alikuwa Mungu mtu huyu hapo
Kwa hiyo Joyce kwa sasa .. "NDIO NANI"
Hivi kaolewa?Alikuwa Mungu mtu huyu hapo
Hivi kaolewa?
Nijaribu bahati yangu mie!!
Laana Ya Mikidadi Mahmoud Na Hayati Julius Nyaisanga Sasa Zinaanza Kufanya Kazi Kwake. Aliyowafanyia Mwenyezi Mungu Anajua Na Anawalipia Sasa.
Hapana bado yupo.Kilichotokea ni kuwa Alipostaafu Mkurugenzi wa the Guardian ltd ndugu mshana,nafsi hiyo haikuwa na mtu hivyo ilishikiliwa na Joyce Mhavile kwa muda(kumbuka yeye ni mkurugezi wa ITV/Radio One siyo upande wa magazeti).Sasa Mengi amenteua Bw Richard Mgamba ku cover hiyo nafasi ya Mshana,so wakati huo mhavile alikuwa anakabidhi nafasi hiyo ya muda kwa Mgamba.
Asante.
Kuna taarifa kuwa bado yupoLaana Ya Mikidadi Mahmoud Na Hayati Julius Nyaisanga Sasa Zinaanza Kufanya Kazi Kwake. Aliyowafanyia Mwenyezi Mungu Anajua Na Anawalipia Sasa.