Hicho hapo mkuu. Kama unataka hard copy hapo ingia tu kwenye bookshops utakipata. Huwezi kukosa.View attachment 1040515
Vinauzwa barabarani tu mkuu . Mfano nenda pale mcity gate kama unaelekea ubungo upande ule kuna majamaa wanauza vitabu chini waulize watakuwa nacho
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa chief ukikipata ulete mrejesho wa mahali na bei basi maana mimi pia nataka hard copySoft copy ninayo mkuu shida yangu ilikua hard copy maana kuperuzi soft copy kwenye PC au Simu macho yanapata shida kidogo na mwanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kaprint hiyo softcopyVinauzwa barabarani tu mkuu . Mfano nenda pale mcity gate kama unaelekea ubungo upande ule kuna majamaa wanauza vitabu chini waulize watakuwa nacho
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa chief ukikipata ulete mrejesho wa mahali na bei basi maana mimi pia nataka hard copy
nenda kaprint hiyo softcopy
Posta City Center karibu kila meza ya muuza vitabu kipo.Ntajaribu kuwacheki mkuu japo sina uhakika sana kama watakua nacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kosa Mlimani City aliposema mdau na Posta nilipo kuelekeza.
Ntajaribu kuwacheki mkuu japo sina uhakika sana kama watakua nacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kosa Mlimani City alipisema mdau na Posta nilipo kuelekeza.
Shukran sana kwa muongozo mkuu niko naelekea posta sasa hivi kucheki.
Sent using Jamii Forums mobile app