Riba za Tigo Nivushe ni kubwa sana

MTUI mbona riba ndogo tu hiyo kwa siku 30, 100,000 haifiki hata 20,000 mpaka wamekuwekea 150,000 halafu hawakujui?
Nenda kwa Mangi 100,000 ni 40,000/ kwa m 150,000 kwa Mangi ni 60,000 kwa mwezi
Naenda kugoongea nyagi haka kapost nmekapenda
 
Msipende kukopa jitahidini sana kuweka akiba kile kidogo unachopata, usiizoeshe akili yako kukopa kwasababu unajua sehemu fulani wanakopesha, ni utumwa na utailemaza akili yako, wekeza akili yako kwenye kuweka akiba, hata kama ni kiasi kdg, wekeza hivyo hivyo, hizo riba mnazowalipa ndio ingetakiwa iwe akiba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema hili juzi..ukizoea kukopa inakuwa km kaugonjwa!kuna mtu aliweka uzi! Bas tu maisha ya sasa ni pasua kichwa
 
Niliwahi kuandika uzi kama huu nikitegemea bot na trca watachukua hatua na kuweka intereat cap kwa haya makampuni ya simu na cikoba hasa baada ya ile sheria ya microfinance lakini wapi, bado wapo usingizini, labda kwa kuwa wao hawakopi huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu upo vizuri sana nainaonekana nimuaminifu kwao yaani hadi umefikia 150,000?

Mimi walinikopeshaga buku 5 nikawalipa kwa usumbufu sana juzi nacheki kiwango kama kimepanda ama laa. Nakuta wamenishushia kiasi cha kukopa sasa hivi wameniwekea kiwango cha mwisho 4500 nikabaki nacheka tu
 
Back
Top Bottom