Revised question: Kosa la Gwajima ni lipi?

Jibu hoja wewe taahira, nani anayeteka na kuua wakosoaji wa dikteta Samia?
 
Jibu hoja wewe taahira, nani anayeteka na kuua wakosoaji wa dikteta Samia?
hakuna haja ya mihemko wala uropokaji unapojaribu kuhalalisha dhana na fikra potofu na za uopotoshaji gentleman 🐒
 
Naona hapa na udini unahusika sana tu
Kuna uhusiano gani kwa watekaji na udini? Sheikh Ponda amekemea utekaji alipokuwa anamjibu Tulia kuhusu kutekwa na kupotezwa kwa Mdude Nyagali, je ulikuwa ni udini pia?
 
Una uhakika hakuna muislam anayeshabikia utekaji na uuaji?
Una uhakika?
Mbona wauaji na watekaji wakikemewa anakasirika na kufungia kanisa? Je yeye si muislam?
Kama keshakuwa kafir mseme siyo kila saa kunsifia tuu.
Mkuu nimekuelewa mno mnoo, nimepata elimu hapa wewe ni great thinker
 
drama zako mkapotoshane na malofa wenzio gentleman 🐒
Utekaji upo, watu wanapotezwa/uawa/dhuliwa hukuw serekali yenye dhamana ya usalama ikiziba watu midomo kama inavyomfanyia gwajima.
Ktk hili nasimamia na gwajima.
 
Utekaji upo, watu wanapotezwa/uawa/dhuliwa hukuw serekali yenye dhamana ya usalama ikiziba watu midomo kama inavyomfanyia gwajima.
Ktk hili nasimamia na gwajima.
hakuna drama kama hizo nchini gentleman, acha kujipotosha mwenyewe na dhana potofu
 
Ngoja ninyamaze
 
Hivi unafiki ni hulka au ni kosa la jinai? Je sheria inasemaje?
si kosa la jinai na sheria haisemi chochote isipokuwa karma inafanya kazi yake.
,Awe mkweli na asimamie ukwelili wake kama Lisu tu, sio kuleta ujanja ujanja na utapeli.
 
si kosa la jinai na sheria haisemi chochote isipokuwa karma inafanya kazi yake.
,Awe mkweli na asimamie ukwelili wake kama Lisu tu, sio kuleta ujanja ujanja na utapeli.
Kama karma itafanya yake kwanini sass mhangaike naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…