Revised question: Kosa la Gwajima ni lipi?

Kosa lake ni kuwateka watu na kuwafanya ngao yake dhidi ya serikali.

View: https://youtube.com/shorts/ZZ9i09xSe6s?si=jXvnXfgxIwhhQqDo
 
Tusichoke kuwaelimisha wapumbavu.
 
Amejichotea watu na kuwaamrisha wamfuate kwenye vita yake dhidi ya serikali
 

View: https://www.instagram.com/p/DKbv1kBqbW8/?igsh=cW1kN3dwejVoZG9u
Anajifanya yeye Yuko Juu ya sheria ,hana adabu Kwa mamlaka mbaya zaidi analeta taharuki Nchini na kutumia Kanda lake kufanya siasa za uchochezi.
 
John Maxwell ashawahi sema "if your only tool is the hummer, you tend to see every problem as nails"
 
Amejichotea watu na kuwaamrisha wamfuate kwenye vita yake dhidi ya serikali
Hata hilo nalo ni haki yake ya kikatiba na kibinadamu.

Tatizo Watanzania wengi hawajui haki zao za kikatiba na kibinadamu.
 
Sisi kama waislamu tunamuunga mkono Mama Samia iwa sbbnndo muislam mwenzatu.Kafanya vzirui kuteka na kuua wapinzani wake wa kisiasa ambao wenginni wakrisitu
Kama alivyomteka na kumuua Mzee Ali Kibao mkristu? Unatumia matako kufikiria
 
Labda kosa ni kutoa mfano wa kuondolewa macho ya Abdi!!
 
Hadi sasa hakuna chawa, kunguni, mpambe, kidampa wa mama Abdul aliyeweza kujibu hoja za Gwajima.
 
Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Kama vyombo vya usalama na Rais anayetakiwa kusimamia usalama wa raia wako kimya nani wa kuwajibishwa?

Aliyesema ni drama za wapinzani ni nani? Samia na kundi lake ndio wahusika. Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…