1.wanapenda mziki huku wanaita Dundo(uwe wa nyimbo za migegedo, huku kumwaga razi (kuvua nguo mziki ukikolea) pia Kuna ngoma ya kucheza uchi kumkaribisha mwali (wazigua
2.Shuhuli ndio Nyumbani kwao yaa hana haja ya kualika mtu akiona anajumuika
3.Vikoba,vikoba, vikoba, hapa ndio nilipo washidwa, wanapenda yaani anakopa na haingizi kipato Chochote na pakuiwekeza hiyo hela hajui zaidi ya kubadili vijora kinacho umia ni sehemu za Siri Ata Kama ameolewa. Ata figo utauziwa.
4. Anakaa kwao au kaolewa ila wanageto Mahali.
5.ukikutana na Malaya hajivungi chochote utapewa tena mpaka uridhike, hawachukui hela ya Bure itaenda Sawa Sawa na Huduma utakayopewa.
6.kuongea mambo ya chumbani hadharani kwao hawaoni noma
7.mwanaume ni mwanaume ilimradi unapumua (kuolewa kwao ni heshima kubwa Sana.
8.kuzaa na mabwana tofauti ni kawaida yaani watakushaangaa ukiwaambia una watoto 3 wa Baba mmoja mama mmoja.
9.chumba kimoja wanakaa Familia nzima na hawajali.
Nb siyo wote.