'Review class' Mwanza

Nicky nicky

Senior Member
Aug 20, 2011
106
9
Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
 
Pole mkuu, nafahamu ya CPA tu. Jaribu kwenda chuo cha CBE na ulizia idara ya Procurement, utapata pa kuanzia. Pia ulizia RUTTA academic centre
 
Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
Nenda pia TIA MWANZA -uliza Matola/kimario nk. watakusaidia ikiwemo preliminary process ya kulipia.
 
Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!

Nenda cbe darasa la post graduate jion utawakuta wenzako. Lakn pia ningependa kujua unafanya stage gan coz nam nafanya stage 3 nimekosa mshiriki.
 
Back
Top Bottom