Revenue from corruption: Tanzania inaongoza duniani!

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
Ni ukweli usiopinginga ,Tanzania inaongoza duniani kukusanya revenue kutoka katika zambi za rushwa. Maana wanasiasa wetu hawaogopi na wala hawana heshima kwa vyombo vyetu vya dola na sheria. Serikali yetu kwa saa moja huingiza kiasi cha shilingi 17.25 kwa matato ya zambi za rushwa! Mapato ya gizani hayo na hutumika bila daftali! Hivyo mali bila daftali hutumika bila habari! Ukimuuliza mustapha mkulo akupe ni kiasi gani tunacho, yeye atakujibu, sijui. Lakini magazeti yanaweka bayana kila siku wala hayafichi!!!!!!
 
Back
Top Bottom