Huu ni mchezo unaitwa BOWLING BATTLE, kwa kawaida hua zinapangwa chupa thn mchezaji anachukua mpira na kurusha, mshindi ni yule atakae zianguza chupa nyingi.
Hii katuni leo ni revenge maana kila siku mpira anawapiga akina chupa sasa leo zamu yake anakula kipigo kama mbwa mgeni