Revenge kwa aliyekusaliti

Revenge kwa aliyekusaliti

Status
Not open for further replies.
The best revenge is to forvige and forget
 
Muombe msamaha kama kuna sehemu ulikosea ikibidi mpigie magoti ili akusamehe asiendelee kutoka nje.
 
nambie Preta ipi inamfaa huyu gfrnd wangu,ambayo hataisahau kabisa

Ndio nafikiria utumie silaha gani za maangamizi..........nimeona kapollonium kidogo........ukichanganya na acid........kanaweza kuanzisha mwanzo mzuri........
 
Kisasi kizuri ni kumsamehe na kutolizungumzia tena. Kama vile hakuna kilichotokea alafu unazidisha ukaribu na mapenzi.
 
Kama humtaki nipe mimi awe mpenzi wangu mpya kwako awe wa zamani sawa bro..!
 
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati yake na Mimi.

Kama humtaki nipe mimi awe mpenzi wangu mpya kwako ni wazamani
 
gonga ndugu zake wawili na tena usifanye iwe siri
 
Marcy,kwani wakati anado na mcheps hakujua Mungu yupo?
ACHA KIJANA AINJOI
KULA DOGO LAKE KIJANA
 
ndo nataka nifanye hivo sijui itamuumiza zaidi mtoto1980

usidhubut kufanya hivyo kama ni kisasi kakiimalizie kwa mkeo kwan ndie aliye kusaliti si vizur hicho kisasi ukakihamishia kwa mdogo mtu na visasi sio dili mkuu utajikuta unaumia mwenyewe cha kufanya mpende wala usionyeshe dalili za kumchukia atajishtukia mwenyewe na nafsi itamsuta
 
Last edited by a moderator:
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati yake na Mimi.

Revenge? What for? Wewe si ulimwambia kuwa unampenda? Sasa kwa nini unataka kulipiza kisasi kama kweli unampenda? Haya, ukimfanyia revenge unafaidika nini, majeraha ya mapenzi aliyokusababishia ndo yanapona au? Embu chukulia wewe ndo wewe ungekuwa unafanyiwa revenge ungejisikiaje? Waswahili wanasema "Jambo usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako" na "Malipo siku zote ni hapa hapa duniani." Nakutakia kila la heri katika revenge yako.
 
Marcy,kwani wakati anado na mcheps hakujua Mungu yupo?
ACHA KIJANA AINJOI
KULA DOGO LAKE KIJANA

mdogo mtu hausiki kwenye hili suala cha msingi wakae wayamalize ukisema ahamie kwa mdogo mtu anajitafutia makubwa zaidi endapo itajulikana bora akae atulize akili siyo kukurupuka ataumia mwenyewe uwezi jua wakat yeye anapanga world war111 siajabu mwenzie kesha fikiria kuanzisha world war1V
 
Msaliti ili asamehewe yeye mwenyewe awe tayari kuomba msamaha na aeleze kwa nini alisaliti? Je na ni kwa nini asamehewe? Na akigundulika amesaliti tena apewe adhabu gani? Akiweza kujibu hayo tafakari na uamue kimsamehe au kumruhusu aende ili akaenjoy vizuri huko
 
Tafuta aliyemzidi kiuzuri, awe amesoma level yake au zaidi hii haswa, anaonekana bomba, anajipenda na anamengi zaidi yake

Sababu atafatilia kutaka kumjua na akikuta kazidiwa mengi inaumaaaaa

Kubeba mwanamke mwingine kumuonyeshea haitoshi kabisa

Songa mbele na maisha chagua zaidi yake

Na wanawake hiyo ndio njia.
 
Kama mkeo au mumeo,bf au gf ameweza kukusaliti unadhani kuna mapenzi au kuna kitu atakijutia?
Mkeo wa ndoa katoka na jamaa mwingine unadhani lipi la la heshima limebaki kwa mume wake?? Mimi naamini kama mwanandoa ameweza kufanya hivyo means hakuna ndoa hapo.wanaosema samehe,mwache endelea kumpenda,hawajawahi kukutana na jambo kama hili.fikiria mkeo au mumeo yupo na mwanaume au mwanamke mwingine! Inauma sana tena sana.dawa ya moto ni moto,jino kwa jino.
Kijana kula mdogo wake hapo ndo adabu itamjia.tena ikiwezekana kula mama yake mzazi.
 
Bila shaka unajua kwa nini kakusaliti, kama hujui nikusaidie kwa kukwambia tatizo ni wewe hapo, una akili mbovu, theres no way utajua kumtreat mdada kwa akili hizo.
 
Ningekushauri njia ya kumuathiri kiakili na kimwili ila sitaki tu kushiriki katika kumpa maumivu ingawa sijui kakuumiza kiasi gani na kwa kua sijui hiyo njia itamuathiri kwa kiwango gani maana sijui yuko vulnerable kiasi gani na athari za kihisia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom