mie mwanaume ila mambo mengine in sababu ya mtu kuvunja moyo wako sumbai
Mpende zaidi
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati yake na Mimi.
Mkuu una busara na hekima sana.... newbeliever ushauri powa huu !!Si umuache afu kisasi ni kaz ya mungu
Watoto ndio hufanya Revenge