Revenge kwa aliyekusaliti

Revenge kwa aliyekusaliti

Status
Not open for further replies.
kama imekuuma sana mwache afu chukua mwingine af make sure anajua kama una mwingine na unamgonga.
hyo ni double unamuacha na dem mwingine unapiga.
kubaki na mwanamke unayejua kapigwa ni vigumu sana kwa mwanaume rijali.kupigiwa inaumaaaa.
 
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati yake na Mimi.

we una matatizo sana
 
Piga chini, ignore her totally and find another hotter chick preferably one she knows. It worked for me.

Why waste time on one cheating tramp? Wanawake wote hawa uumize kichwa na kicheche mmoja.

Huu ujinga eti msamehe itamuuma zaidi achana nao. Sana sana utampa kichwa aendelee kuchapwa na kukukalia.

Dawa ya hawa viumbe ni mwanaume kuwa na misimamo. When she crosses you show her that she's not that important and ignore her like u never knew her.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom