.haya bwana,ila wajue kuwa mavumbini walitoka na mavumbini watarudi watajenga majumba ,magari,mashamba n.k lakini mwisho wa yote hawatakwenda navyo.kwa wake wakristo wasome zaburi 49:16-17"usiogope mtu atakapopata utajiri,na tayari ya nyumba take itakapozidi.maana atakapokufa hatachukua cho chote;utukufu wake hautashuka ukimfuata"
Mmmmmh huko nasikia ni balaa hadi Mkuu wa upinzani yumooooo. Wasalam mod na mtoa mada
.
Kibaya zaidi hawakuiba pesa tu, bali hata nafsi ya mgimwa aliyeonekana kikwazo cha pesa kuchotwa, damu yake imemwagwa.
Damu hii itawalilia mafisadi kutoka mavumbini ikidai ulipizi wa kisasi hata kizazi cha nne cha hawa mafisadi
Mmmmmh huko nasikia ni balaa hadi Mkuu wa upinzani yumooooo. Wasalam mod na mtoa mada
Wa kwanza kabisa ambae damu hii itamuangamiza ni huyu GODFREY MGIMWA anayefurahia kifo cha baba yake kwa kuwa tu amepata UBUNGE.
Wa kwanza kabisa ambae damu hii itamuangamiza ni huyu GODFREY MGIMWA anayefurahia kifo cha baba yake kwa kuwa tu amepata UBUNGE.
Najua wanajulikana, nilichosema ni kwamba, CAG kwa makusudi aliomba account number and amount tu akaacha majina
Naam wakuu,
Kesho baada ya maswali na majibu kama mlivyofahamishwa kwenye thread nyingine; PAC watasoma ripoti yao.
Spika ameshauriwa vema na sasa umma utapata kujua mbivu na mbichi.
Yawezekana wengine mkakatiwa umeme, yawezekana vituo vingine visirushe lakini tutajuzana hapahapa JF. Wale wenye simu zinazopata mtandao ziwekeni chaji ya kutosha.
Hii ni brief tu, haionyeshi majina wala details zaidi (tunaliachia Bunge lifanye kazi yake)
.
Kibaya zaidi hawakuiba pesa tu, bali hata nafsi ya mgimwa aliyeonekana kikwazo cha pesa kuchotwa, damu yake imemwagwa.
Damu hii itawalilia mafisadi kutoka mavumbini ikidai ulipizi wa kisasi hata kizazi cha nne cha hawa mafisadi
Wa kwanza kabisa ambae damu hii itamuangamiza ni huyu GODFREY MGIMWA anayefurahia kifo cha baba yake kwa kuwa tu amepata UBUNGE.
Huyo kijana nimemdharau sana ! Hivi kwanini asikae kimya tu ?
Inakuaje account ioneshe amount na number za account halafu wamiliki wasionekane au wasijulikane? Sawa bank si ipo tumeshindwaje kuwajua wamiliki wa account hizo. Hapa kuna mchezo mchafu mkubwa sana kuliko uliofanyiwa maazimio jana?
Kweli kabisa et kuna bank statement ambayo Mmiliki wake hajulikani kweli? Maswali haya yanafanya niende extra miles thinking than beyond.
Ukiangalia vizuri na kwa umakini mkubwa kuwa bank statement imeonesha kiwango na account number ila mmiliki hajulikani bonge la aibu na dhuluma kweli kama mambo tumeamua yaende hivi.
My take based:
1: Waliochukulia pesa account ya mkombozi walichukua walikuwa wamechelewa na ndio maana walichukua huku vigogo walishabeba kama inavyosemekana.
2: Kutokuonekana na kutokufahamika kwa majina kwa system ya bank kunatilia shaka na kuaminisha umma kuwa kweli yawezekana kabisa kuna majina ya vigogo.
3: Walioazamiwa Jana watakuwa wameonewa sana tu kama kuna vigogo walilipwa kutumia stanbic bank na pesa inaonekana na account zao lakn hawafahamiki
4: Huu si mwisho wa escrow inapaswa Maswi haojiwe na Takukuru usiwe mtindo kama ule vile visenti akaachwa bila kuhojiwa kujua pesa ziko wapi?
5: Stanbic bank watoe tujue wale ni akina nani?
Alikuwa amepata supu ya moto ya snoppy siku ile. Maana ile makitu ni kali mno inaweza kukuharibu akiliAmenisikitisha sana muhehe mwenzangu.
Yaani kupewa ubunge ndo kuridhika na mauaji ya mzazi wake?
Aisee huyu ataendeleza hii kitubsitashangaa akitoa kafara wadogo zake, wanawe hata mkewe.