Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Nlitaka kuuliza suala hilo hilo
Redio Tanzania
Nlitaka kuuliza suala hilo hilo
Hivi JK kesharudi?
Inakuaje account ioneshe amount na number za account halafu wamiliki wasionekane au wasijulikane? Sawa bank si ipo tumeshindwaje kuwajua wamiliki wa account hizo. Hapa kuna mchezo mchafu mkubwa sana kuliko uliofanyiwa maazimio jana?
Kweli kabisa et kuna bank statement ambayo Mmiliki wake hajulikani kweli? Maswali haya yanafanya niende extra miles thinking than beyond.
Ukiangalia vizuri na kwa umakini mkubwa kuwa bank statement imeonesha kiwango na account number ila mmiliki hajulikani bonge la aibu na dhuluma kweli kama mambo tumeamua yaende hivi.
My take based:
1: Waliochukulia pesa account ya mkombozi walichukua walikuwa wamechelewa na ndio maana walichukua huku vigogo walishabeba kama inavyosemekana.
2: Kutokuonekana na kutokufahamika kwa majina kwa system ya bank kunatilia shaka na kuaminisha umma kuwa kweli yawezekana kabisa kuna majina ya vigogo.
3: Walioazamiwa Jana watakuwa wameonewa sana tu kama kuna vigogo walilipwa kutumia stanbic bank na pesa inaonekana na account zao lakn hawafahamiki
4: Huu si mwisho wa escrow inapaswa Maswi haojiwe na Takukuru usiwe mtindo kama ule vile visenti akaachwa bila kuhojiwa kujua pesa ziko wapi?
5: Stanbic bank watoe tujue wale ni akina nani?
Inawezekana kabisa ndugu, database admin wanajua hili. Alotuuza hapa ni CAG, kwenye hiyo bank aliomba account number na amount bila jina na akapewa.
Hivo basi uchunguzi ni lazima uendelee walichukua hizo fedha wafahamike
wwlochukua wanajulikana. Kama mzee wa tezi dume kaja na kasema ya dodoma hayajui? What do you think?
Weka list Mkuu
Inakuaje account ioneshe amount na number za account halafu wamiliki wasionekane au wasijulikane? Sawa bank si ipo tumeshindwaje kuwajua wamiliki wa account hizo. Hapa kuna mchezo mchafu mkubwa sana kuliko uliofanyiwa maazimio jana?
Kweli kabisa et kuna bank statement ambayo Mmiliki wake hajulikani kweli? Maswali haya yanafanya niende extra miles thinking than beyond.
Ukiangalia vizuri na kwa umakini mkubwa kuwa bank statement imeonesha kiwango na account number ila mmiliki hajulikani bonge la aibu na dhuluma kweli kama mambo tumeamua yaende hivi.
My take based:
1: Waliochukulia pesa account ya mkombozi walichukua walikuwa wamechelewa na ndio maana walichukua huku vigogo walishabeba kama inavyosemekana.
2: Kutokuonekana na kutokufahamika kwa majina kwa system ya bank kunatilia shaka na kuaminisha umma kuwa kweli yawezekana kabisa kuna majina ya vigogo.
3: Walioazamiwa Jana watakuwa wameonewa sana tu kama kuna vigogo walilipwa kutumia stanbic bank na pesa inaonekana na account zao lakn hawafahamiki
4: Huu si mwisho wa escrow inapaswa Maswi haojiwe na Takukuru usiwe mtindo kama ule vile visenti akaachwa bila kuhojiwa kujua pesa ziko wapi?
5: Stanbic bank watoe tujue wale ni akina nani?
Aweke list kwani amekwambia yeye anayo?