Revealed: Operation Bomoa CHADEMA Mbeya, Mpango Mzima Episode 1..

karìbuni mby ccm mtaendelea kula za uso tu hapa
 
Huyu George Mwaikela au baba Clinton,kafariki juzi katika ajali ambayo mpaka sasa mimi naona imekaa kiutata utata,huyu bwana alipata ajali saa kumi za usiku maeneo ya bandari kurasini,nimejiuliza sana alikuwa kafuata nini saa kumi za usiku bandari huko,sasa kama ni huyu jamaa basi kweli ccm wameishiwa.Huyu alikuwa maarufu sana Mbeya kwa dhuluma.
 

Roho yake iwekwe mahali inapostahili , DO NOT SAY RIP ,hiyo itakuwa ni kama kuingilia majukumu ya M/Mungu.
 
kwani kuna mtu anafanya siasa Tanzania Zanzibar au Tanzania Tanganyika kwa nia njema ya Taifa? tusijidanganye, woooote pesa tu! maslahi ya ndo siri ya kweli ya sababu.

Watu kama huyu wa kufuatiliwa kwa ukaribu wana mawazo ya kuhongwa na kutumika... note..
 
Kwa matokeo ya juzi vituo 34 chadema 2 ccm jamaa wanapaswa kujipanga sana, Sugu anaweza kuonekana mwepesi katika kujenga hoja bungeni lakini anacheza vizuri siasa za vijana jimboni kwake, na hata sasa nenda popote na halafu tangaza uwepo wa sugu hutakosa watu kwenye mkutano wako, ana nguvu ya asili ya kupendwa
 

Mbeya Nchi Sugu Raisi,muulize Mwigulu!!!
 
kuweni makini na uzi huu hii ni propoganda ya kuwachonganisha wana chadema
 
watu wa mbeya wasasa tofauti na kipindi cha nyuma wamekuwa waelewa sana tofauti na mnavyo sema mbeya tuna ukabila ni propaganda zenu ccm mbeya yote kwasasa cdm ndio mpango mzima ninyi mnaishi mbeya ipi mpaka mseme kuna ukabila, acheni uongo ccm ninyi jiandaeni 2015 kupoteza majimbo mengine hao wasafwa mnao wasema wanaipenda cdm nendeni ituha,isyesye,mwansekwa,uyole nk mjionee bendela za chadema zinavyo pepea
 
Nimeshirika siasa za mbeya nikiwa katibu wa muda wa baraza la vijana wa CHADEMA,kwa watu wenye misimamo ya kipekee kama nilivyosimama mimi pale kwa kipindi kile shitambala anahama chadema na eddo makata mwamalala tulishamtilia shaka...mimi mwenyewe nilifuatwa na baadhi ya viongozi wa ccm wakinitaka nijiunge na ccm lakini kutokana na historia yangu nikawaambia "SIWEZI KUWA MNAFIKI KUJIFANYA NAIPENDA CCM WAKATI SIIPENDI KUTOKA ROHONI NA PIA NILIWAULIZA WALIKUWA WAPI KIPINDI SIJASIMAMA KISIASA??WAMESUBIRI NIMEPIKWA NDIO WAJE KUVUA SAMAKI KWENYE "TENGA"",,,SO SIASA YA MBEYA CCM WAMECHELEWA KUDIZAINI MAANA WANA MIKAKATI NASI TUNA MIKAKATI...MBEYA FOR EVER NI CHADEMA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…