Revealed: Operation Bomoa CHADEMA Mbeya, Mpango Mzima Episode 1..

Ccm bila rostam na lowasa haiotutishi tena............ccm wanategemea uhuni,ulaghai,uchinganishi kwa wananchui kwa kutumia pesa ambazo zitakuwa zimeota mbawa kwa kuwafukuza hao mafisadi papa..............haya mengine ni maneno mbofumbofu tu na hisia zaidi ya ukweli..................kwa kipindi hiki kumkuta mtz hasa kutoka mbeya anaipenda ccm na kikwete ni nadra sana.........ila mkoa wa mbeya umejawa na hisia zaidi................kunawengine wanasema mbeya mjini wanyakyusa hawana influence sana kitu ambacho sio kweli....unaowaita weasafwa hata kura waliowengi hawapigi .............ila njaa zitawafanya viongozi wetu watugawe sana kwani viongozi wanaangalia maslahi yao yal;iyopita,yaliyopo na yajayo...
 
  1. Shitambala alivuruga uchaguzi makusudi kwa sababu zifuatazo.......

(i) Tayari alikua ameanza kusaliti CHADEMA tangu awali, kwa mipango ya chinichini na baadhi ya vigogo wa CCM...

(ii) Uchaguzi wa 2010 alipewa pesa, milioni 17 cash si millioni 600 kama ilivyodhaniwa...aliyemkabidhi ni bwana Mwaikela, baada ya Mboma kumuomba ampishe mbunge wa sasa Mwanjale aendelee, mbunge huyu pia ni binamu wa Shitambala, kumbuka yaliyotokea 2008..(UMEWAHI KUSIKIA MWANASHERIA ANAJIAPISHA MWENYEWE!!??)

(iii) Shitambala kama mwenyekiti wa CHADEMA alizuia baadhi ya kata kuwa na wagombea udiwani toka chama chake cha zamani eti kwa kudai wanaogombea kupitia CCM wanamuunga mkono!!!

(iv) Hakupeleka mawakala katika vituo vingi sana vya jimbo la Mbeya Vijijini, suprisingly hata wakati wa majumuisho hakuwepo!!!

2. Waberoya hafahamu siasa za Mbeya, anasoma humuhumu JF na kwenye magazeti...

3. Kwa kasi sana kunaonekana UMBALI mkubwa unaoanza kujengeka kati ya Prof Mwandosya na wananchi wa mkoa wa Mbeya, hasa vijana ambao ndio huamua siasa za mkoa huo....kumbuka wakati anamtambulisha Shitamabala, pamoja na kumzomea walimwambia, UNATUCHANGANYA MZEE, HATUKUELEWI!!

4. Bado JK hayupo karibu na Dr Mwakyembe, kumchagua ilikua ni presha ya wazee wa CCM ili at least kurudisha sura ya chama kwa Watz, na sio Mbeya pekee...(refer kurudishwa Magufuli wizara ya Ujenzi).....mwakipesile ni kambi ya EL, na kwa taarifa yako, ana sympathy na CHADEMA ndio maana CCM walipoteza jimbo kirahisi, pamoja na kwamba ni mtu wa Mbeya, ni mkongwe pale angeweza kuepusha kupotea kwa jimbo la Mbeya Mjini...

5. Kama unayosema ni kweli, basi uhusiano mbovu wa Prof Mwandosya na Dr Mwakyembe ni mojawapo ya misumari katika jeneza la CCM Mbeya...

6. Ni kweli Dr Mwakyembe yupo karibu na CHADEMA, na kabla ya uchaguzi 2010 alichukua vifaa kama kadi, bendera na katiba pamoja na vitabu vya mabaraza, CCM wangemmwaga, Kyela ingekua CHADEMA kupitia Dr Mwakyembe...Prof Mwandosya alikatazwa na wazee wa wilaya ya Rungwe kwenda CHADEMA, si kwamba haikua plan B yake...Makata alikataliwa na wananchi wa Kyela mapema sana...

7. CCM tayari walikiua wameanza ukaribu na Makata (KATIBU WA CHADEMA MKOA) hata kabla ya uchaguzi 2010, Dr Slaaa pengine alilijua hili mapema,akaogopa kuchafuka....

8. Ishu ya viti maalum imeshaisha kwa sasa, kwani tayari wanawakilishwa na mheshimiwa Naomi Mwakyoma...

9. Upo sahihi, lakini UFISADI si adui, ni RAFIKI mkubwa wa CCM na kuelekea 2015, atashirikiana kwa karibu sana na MAISHA MAGUMU na hivyo kuifanya CCM ichukiwe si MBEYA tu, bali nchi nzima!!!!!! CCM hawana gamba la kujivua, watabaki UCHI...

NB:

Sugu amuogope Prof Mwandosya kama ukoma, kwa sababu Prof Mwandosya sie aliyemfikisha hapo, na hata waliomchagua Sugu tayari wanamkataa kwa kasi huyu profesa...Sugu anawajua anaotakiwa kushirikiana nao,ni wale waliomfikisha hapo...
 
Do not spin issues hapa....

1. Unafahamu level ya elimu ya Naibu Waziri wa Elimu?? Unajua ana-rub shoulders na kina nani???

2. Kwenye kikao cha mwisho, opposite na eneo la Airport ilipo ofisi ya Mwaikela (jamaa wa darasa la 7), ali-rub shoulders na wasomi 3 toka TEKU; ndugu Shitambala (ambae pia ni msomi LLM)...aliye-confirm kikao hiki kwa JK kwamba ni kweli kimefanyika ni Ngeleja, ambae ni rafiki wa Shitambala...huyu ndiye mtu wa nne katika hili gemu...
 
Kweli siasa za mbeya?????
hivi ni kweli mji wa wasomi kuongozwa na sugu? kama vile siamini! walikosea au walidhamiria? Au ni migawanyiko ya ccm ndo cahnzo kama ilivyokuwa mwa majimbo mengine kama iringa na mbulu? ikawa bora tukose wote? Funny!
 
Nani aliyekudanganya mbeya mjini kuna wasomi?Uliza wazawa tukwambie mkuu wasomi wa mbeya wanatoka katika wilaya na si mby mjini kama wengi mnavyodhania.
 
Kweli siasa za mbeya?????
hivi ni kweli mji wa wasomi kuongozwa na sugu? kama vile siamini! walikosea au walidhamiria? Au ni migawanyiko ya ccm ndo cahnzo kama ilivyokuwa mwa majimbo mengine kama iringa na mbulu? ikawa bora tukose wote? Funny!

Mkuu acha dharau, hivi unamjua rais wa Tz? Unamjua rais wa Madagascar? Unamjua mbunge wa Rorya? Mbarali je?
 
Ahsante kwa kuwaweka sawa Mbeya inahistoria ya kutoa wabunge wapinzani Polisye Mwaiseje former Katibu Mkuu NCCR mageuzi alishawahi kuwa mbunge pale,sasa SUGU wamemchagua wenyewe watamanio hilo Jimbo wajitahidi tuu lakini SUGU aliwekwa na wananchi ndio watakao amua sio pesa za mtu wala mitandao
 
Mkuu huwa unanichekesha sana pale ambapo uko tayari kuongea uongo ili kusisitiza hoja yako!!!!!!!!!!!!! You have contradicted urself several times.

Mkuu Nyambala, kama ungeifahamu siasa ya Mbeya vizuri, ungetambua kuwa Waberoya ameongea ukweli mtupu.
 
Pamoja na kumchoka Mpesya lakini bado kampeni ya Sugu haikuweza kupenya kwenye maeneo ya Wasafwa mpaka Shitambala alipoingilia kati na kwenda kuongea nao lugha wanayoifahamu,its very complicated!!
 
Hauifahamu siasa ya Mbeya, hakuna wapiga kura wazuri mbeya kama Wasafwa na wanapiga kura kama block moja,muulize Tom Mwang'onda anawafahamu vizuri!!
 
Mkuu Nyambala, kama ungeifahamu siasa ya Mbeya vizuri, ungetambua kuwa Waberoya ameongea ukweli mtupu.

Asante Butola, wengine wanapenda tuwaambie kuwa ndio nyumbani! watujue vizuri.

I do believe Chadema can still survive kama wakicheza vizuri, ila wasilete mabifu na akina Mwandosya yasiyo na maana( wamuweke adui ila anayechukuliwa kwa uangalifu sana Mwandosya ni unpredictable), wanaweza kutumia makundi ya ccm yaliyopo sasa for their benefit.
 
Mambo yote hayo ndiyo yanayomaanisha siasa. Pamoja na mambo yote hayo, CHADEMA wanaonekana kuzichanga vizuri karata zao tofauti na CCM ambao wamekalia kujiaminisha kuwa wao ni chama kinachopendwa na watu wengi bila wao kuonyesha kuwa wako karibu na wananchi na wanawapenda watu masikini (90% ya watanzania). Ubinafsi na unafiki wa viongozi wa CCM ndiyo chanzo cha kukiua chama chao taratibu (Killing the party slowly but surely).
 
Kumbeee!!

Twende kazi Mdau, tutafika.
 
Mkuu Waberoya, hivi Mwandosya anakutisha sana???
 
Pamoja na kumchoka Mpesya lakini bado kampeni ya Sugu haikuweza kupenya kwenye maeneo ya Wasafwa mpaka Shitambala alipoingilia kati na kwenda kuongea nao lugha wanayoifahamu,its very complicated!!

Tueleze humu jamvini Sugu alipata kura ngapi baada ya Shitambala kutumia ukabila katika kampeni.......
 
Mtoa hoja kukumbuka kwamba;
1. chadema imejijenga katika mfumo wa ki-chama si mtu binafsi [hili ndilo tatizo linalowaumiza vichwa ccm katika kuibomoa tofauti na vyama vingine ambavyo individuals are famous].
2. CHADEMA ina style ya kushumbulia chama tawala sambamba na induvidual jambo linalowapa washambuliwa wakti mgumu kwani inabidi wajibu kichama with individuality.

Kwa hoja hizo mbili cdm kinajimbambanua kutokuwa chama cha kikanda kama tulivyohubiriwa mwanzoni. isitoshe kinajitanua kwa awamu [ ninaamini awamu itakayofuata ni ile ya pwani na zanzibar.
kwa misingi hiyo sidhani kama cdm mbeya itasumbuliwa na sualala ukabila maana hawa jamaa wanaangalia uwezo na si dini, kabila au rangi!!
 
Duh...............

Mwaikela(George) anauza dawa za kulevya!!!!!!............hii kali...

Thought George ana mpango wa kugombea jimbo la Songwe.............kumbe Mbeya mjini!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…