Pole MkuuNa hakuna kauli inayoniudhi kama "wanaolalamika ni wapiga dili". Mimi nina kabiashara kangu...wakati wa JK kalikua angalau kanaendelea vizuri...nilikua nimeajiri watu watano....na hata sikuwahi "kupiga dili"...kwanza hizo tenda za serikali sijawahi hata kujaribu. Sasa hivi kabiashara kanapumulia mashine..mfanyakazi kabaki mmoja na hata huyo ana hatari ya kuondoka. Eti na mie mpiga dili?
Abadili gia angani? Hiyo sura yake ataificha wapi. After kashfa zote zile alizot.upaka kwamba sisi ni wapiga dili? Leo atakwenda kwa nani na ataanza vipi kucompromise naye?. Nasubiri kushuhudia anguko la serkali iliyofilisikaKama nahodha wetu atakua mnyenyekevu na kukiri kwamba amekosea kwenye strategy yake ya uchumi..na kukubali "kubadilisha gia angani"...pengine bado tuna nafasi ya kuokoa jahazi. Shida ni kwamba sidhani nahodha wetu anao huo unyenyekevu
Aache uongo na ulaghai wa mchana huyu bwana. When you start prioritizing (fanya hili kwanza na acha hili, japo la muhimu pia) means you are showing signs of financial problems. Kwanza hizo "priority areas" zao ni zipi? Kulipa mishahara kwanza?
Ngoja waje
~Cmb
Kwenye habari kama hii huwa hawasogei.
Ni kweli mkuu...kubadili gia angani kunahitaji mtu mwenye unyenyekevu wa hali ya juu ambaye yuko tayari kukiri kwamba alikosea (hata kama alikua na nia njema). Hilo anguko litatuumiza wengi sana..i wish kungekua na njia la kuliepuka. Lakini kwa jinsi ninavyoona...itabidi tukinywe tu hicho kikombeAbadili gia angani? Hiyo sura yake ataificha wapi. After kashfa zote zile alizot.upaka kwamba sisi ni wapiga dili? Leo atakwenda kwa nani na ataanza vipi kucompromise naye?. Nasubiri kushuhudia anguko la serkali iliyofilisika
Kama nahodha wetu atakua mnyenyekevu na kukiri kwamba amekosea kwenye strategy yake ya uchumi..na kukubali "kubadilisha gia angani"...pengine bado tuna nafasi ya kuokoa jahazi. Shida ni kwamba sidhani nahodha wetu anao huo unyenyekevu
Sasa mkuu kama bodi ya TRA imepigwa chini eti kwa kutoa ushauri ambao mtukufu hakuupenda.....unadhani kuna mshauri yoyote atakua na ujasiri wa kutoa ushauri tena? Sana sana wataendelea kutoa mapambio ambayo anapenda kuyasikia..."uchumi unakua" "wanaolalamika ni wapiga dili" "kila mwezi tunakusanya zaidi ya trillioni 1". We are in for a bumpy ride as a nation...Hili la kukubali kwamba alikosea kwenye maamuzi yake ndilo linalostahili kufanyika haraka na kuwapa uhuru washauri wa mambo ya uchumi wamshauri nini kifanywe ili kuunusuru huu uchumi unaoanguka kwa kasi ya kutisha. Tatizo yeye anajiona ndiyo yeye siku zote yuko sawa kwenye maamuzi yake. Akiamua kuendelea hivi basi tusishangae uchumi wa Tanzania kuanguka kuliko nchi yoyote ile ya Afrika na si ajabu duniani katika mwaka huu wa 2016.
Sasa mkuu kama bodi ya TRA imepigwa chini eti kwa kutoa ushauri ambao mtukufu hakuupenda.....unadhani kuna mshauri yoyote atakua na ujasiri wa kutoa ushauri tena? Sana sana wataendelea kutoa mapambio ambayo anapenda kuyasikia..."uchumi unakua" "wanaolalamika ni wapiga dili" "kila mwezi tunakusanya zaidi ya trillioni 1". We are in for a bumpy ride as a nation...