Rev. Msigwa dhidi ya Prof. Shivji

Rev. Msigwa dhidi ya Prof. Shivji

Mimi sijamwona Shivji akiongea. Ila kama kaongea hivo. Basi afute kauli au aeleze alichomanisha, la sivo tunaanza kuwa na mashaka na huyu Prof. ambaye nimefanya naye kazi.
 
Hatumvunjii heshima prof.shivji,ila tumbo lake ndo limemfanya achepuke,"nahuu mchepuko wa aina hii ni hatari maana anaweza kuuza familia ,anawezaje kusema "kuichekea selikali fisadi ndo uzalendo?hivi kweli kupewa hela kwaajili ya tumbo lake nawengine wakose hata mlo mmoja kwa siku,je! huo ndo uzalendo anaoutaka prof,shivji wa kuichekea selikali iliyopo madarakani? Je! tukisema huo ni uzuzu tutakuwa tumekosea kwa msomi wetu huyu?mmmmmmmmmmmmmhu!!!!!!.tz?.
 
Inabidi uwekwe umri wa kuustaafu u-profesa kwa muenendo huu au viwekwe vigezo vya kunyang'anywa u-profesa hasa pale utakapoenda au kuzungumza tofauti na ulivyowahi kuzungumza awali ii heshima ya u-profesa iendelee kubaki.
 
hizo ndizo za CHADEMA mara zote huwa wanajaribu kuwalinganisha makanjanja wao na watu maarufu siyo Tanzania hata Duniani.

Hapa hatuangalii umaarufu wa mtu,hata IDD amin alikuwa maarufu,tunavhoangalia hugo mtu ameongea nini au amefanya kitu gani,shivji hata nyie mnamfahamu,alikuwa muumin mkubwa wa serikali tatu,sasa hivi kalambishwa pipi kapoa anaanza kuongea utumbo,tumbo lake linamsumbua,kwahiyo kama ameongea pumba kwanini asiwe compared?
 
ukishaanza kutumika na ccm unashusha hadhi yako yote
 
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.

U-Professor Tanzania? Pinga hoja aliyoitoa endapo ina mantiki ama la? Kama Kapuya, ni kweli Prof wa kitabu, lakini ni Simba zaidi. Endapo anafundisha ukatoa hoja kuhusu Simba, angeacha kutoa lecture na kuanza kusimulia uzuri wa Mwameja. Kwa msingi huo professor ni mwanadamu tu, ilikuwaje watukutu darasani walimwondoa Kapuya kwenye ufundishaji? Ama hujaona Prof husuani UDSM wanagombea kademu? Nayombaga
 
Peter Msigwa

Kwa HESHIMA zote, napinga mtazamo wa prof. Issa Shivaji, kuwa eti, uzalendo ni kuitii serikali iliyokomadarani. Na utaifa eti ni ukereketwa wa nchi yako hata Kama huipendi serikali. Kwa mtazamo huu, Nyerere hakuwa mzalendo kwa kuwa aliipinga serikali ya mkoloni? Vipi Mandela aliyepinga serikali ya kibaguzi kule bondeni naye hakuwa mzalendo? Vipi waganda walioipinga serikali ya Idd Amini? Vipi serikali Kama ya Mabutu wa DRC?

Kuna wakati kuichukia serikali serikali iliyopo madarakani ni uzalendo, serikali huja na kuondoka, ila taifa hubaki, serikali yoyote ambayo, inatumia vibaya raslimali za nchi yake, ikichukiwa ni uzalendo. Serikali ya kifisadi, inayoendekeza ujangili, wizi na uporaji wa Mali za umaa inafaa kuchukiwa kwa nguvu zote na huo ndio uzalendo.

Serikali inayokiuka haki za binadamu, inayokandamiza demokrasia, kuitii serikali Kama hiyo sio uzalendo. Ndugu Issa Shivji... Sijakuelewa hasa msomi Kama wewe. ..how would you say that? saw you on news yesterday (ITV).

Huyu Professor Shivji tangu njaa ilipohamia kwenye ubongo (cerebral hunger), hata professor Maji Marefu ana nafuu!

Eti uzalendo ni kutii serikali iliyoko madarakani?! Poor Professor Shivji. Kwahiyo Mandela (RIP) hakuwa mzalendo pale alipopinga utawala wa kibaguzi wa rangi wa Afrika Kusini?!
 
utafiti umeonyesha watu ambao wapo zaid ya miaka 50 na kuendelea huwezo wa kupambanua mambo na kufikiri unapungua,msilaumu sana ni umri umemtupa mkono
 
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.

Ndugu yangu Ritz,hebu rudia kusoma post kwa utulivu na umakini. Ni wapi kuna ulinganisho kati ya Mch. Msigwa na Prof. Shivji? Alichoandika Msigwa hapo ni juu ya uzalendo. Au wewe unakubaliana na maana ya neno "uzalendo" kadri ya kauli ya Shivji? Ifike mahali watanzania tutumie utashi wetu katika kujadili mambo na tuuache kuwa watumwa wa akili.
 
Heshima sio uprofesa wa cheti bali mambo mazuri unayoyafanya/sema yenye manufaa kwa jamii. Unaweza kuwa prof lakina bado ukawa mpumbavu na unaweza usijue hata kusoma na kuandika lakini ukawa na mabo yenye maana na yanayojenga jamii. Kwahiyo kama prof ni mjinga lazima tumseme kwa ujinga wake.

Ni kweli kabisa mkuu huyu prof shivji haeleweki kabisa sijui wamelisha nini maskini wee,kwani sasa hivi mawazo yake yako kwenye hatua ya kuporomoka,kwishinei
 
Kama kwa hoja za kuitii serikali iliyopo madarakani Prof. Shivj yupo sasa.
Hamjaweza kuchanganua vyema maana halisi ya alichokisema kutokana na elimu yenu ndogo.
Ili uelewe alichomaanisha lazima uwe na uwezo wa kufikiria nje ya box.
Msigwa ana elim kiasi gani?
 
hizo ndizo za CHADEMA mara zote huwa wanajaribu kuwalinganisha makanjanja wao na watu maarufu siyo Tanzania hata Duniani.

Nyie mnakubali kuburuzwa tu kisa anaitwa profesa kwa hyo siku akija kusema utoaji wa mimba ni baraka wewe utalibariki kisa ni profesa??? Acha kufuata mkumbo soma ukinzan wa hoja vyet ni makaratas tu kwan yeye kuwa profesa ndio hakosei??? Achen mawazo mgando
 
ivi prof!mnaona ni miungu watu sana acheni ujinga humu tunaangalia mambo ya utaifa huyu shifvi mnapoteza muda kumjadili tu cz mawazo yake ndio mtazamo wa ccm mnategemea nini,huyu hana tofauti na nepi msema ovyo
 
Kama maprof imefikia mahali wanakuwa na akiri ya kuku hivi sioni sababu yakupeleka watoto shule kuharibu hela
 
Back
Top Bottom