Rev. Msigwa dhidi ya Prof. Shivji

Rev. Msigwa dhidi ya Prof. Shivji

Damn you and damn you again!! afadhali kuwa mhaini kwa serikali ya majambazi kuliko mnafiki kama huyu prof.
Tunafahamu tabia za huyu!! huyu ndiye aliyekuwa anawabebea ZNZ kapu la madaraka kamili kwenye midahalo sasa anachumia tumbo kwa mikate ya majangili!!

I think u r Msigwa. Hivi ulishamlipa Abuu wa NBC hela zake?
 
Iko siku watanzania watamkumbuka na kumlilia Professor Shivji. Katika Maprofessa ninaowaheshimu nchini na kuwakubali katika taaluma zao ni huyu jamaa pamoja na rafiki yake Professa Haroub Othman (marehemu). Ila kwakuwa watanzania sisi wengi wetu tunasukumwa na mihemko ya kisiasa mnamtukana na kumdhalilisha sasa!!!

Hoja ni hii hapa chini ni nani yupo sahihi kuhusu uzalendo Msigwa au Shivji? baada ya kupata jibu utajua ni nani wa kupuuzwa.

quote_icon.png
By Katufu

Peter Msigwa

Kwa HESHIMA zote, napinga mtazamo wa prof. Issa Shivaji, kuwa eti, uzalendo ni kuitii serikali iliyokomadarani. Na utaifa eti ni ukereketwa wa nchi yako hata Kama huipendi serikali. Kwa mtazamo huu, Nyerere hakuwa mzalendo kwa kuwa aliipinga serikali ya mkoloni? Vipi Mandela aliyepinga serikali ya kibaguzi kule bondeni naye hakuwa mzalendo? Vipi waganda walioipinga serikali ya Idd Amini? Vipi serikali Kama ya Mabutu wa DRC?

Kuna wakati kuichukia serikali serikali iliyopo madarakani ni uzalendo, serikali huja na kuondoka, ila taifa hubaki, serikali yoyote ambayo, inatumia vibaya raslimali za nchi yake, ikichukiwa ni uzalendo. Serikali ya kifisadi, inayoendekeza ujangili, wizi na uporaji wa Mali za umaa inafaa kuchukiwa kwa nguvu zote na huo ndio uzalendo.

Serikali inayokiuka haki za binadamu, inayokandamiza demokrasia, kuitii serikali Kama hiyo sio uzalendo. Ndugu Issa Shivji... Sijakuelewa hasa msomi Kama wewe. ..how would you say that? saw you on news yesterday (ITV).
 
Hata mimi nilishangaa pia kwa maana iliyotolewa kwa shule yangu ndogo. Naomba kusahihishwa kama uzalendo hauna maana ya PATRIOTISM ambayo iko ndani ya UTAIFA ikiwa na maana ya MOYO WA MWANANCHI KUIPENDA NCHI YAKE AU TAIFA LAKE na kuwa tayari hata kuifia nchi yake. Kwa maana hiyo a patriotic man hawezi kuwa fisadi, hawezi kuona rasilimali za nchi zinachukuliwa na wageni kwenda kuendeleza nchi zao nk.
 
Ni aibu kumfananisha msomi wa kimtaifa na mla mbwa... ni kosa la jinai huyo mla mbwa unamfananisha na yule chizi wa arusha
 
I think u r Msigwa. Hivi ulishamlipa Abuu wa NBC hela zake?
Hata ukitoka nje ya mada huwezi kunizuia kukueleza maana halisi ya uzalendo. Usijibu kwa sababu you will be touching my patriotic values!! Na wewe ni mhindi.
 
Prof Shivji ni mzalendo wa nyakati,sio wa muda wote

Hapana hamjaelewa! Prof Shivji ni MSTAAFU, sio tena Profesa, sio tena kijana, sio tena mwenye kumbukumbu na yaliyopita, sio tena mwenye maono ya kinachokuja. Yaani amezeeka na bahati mbaya tofauti na wazee wa vijijini sisi wa mjini na hasa wasomi tukizeeka, tunapoteza kumbukumbu na hata weledi wetu! Lakin hii ni kweli tu kwa wazee wa nchi za kikwetu kwani kwa wenzetu huko ambako hata wakiwa na nguvu za ujana, jembe huitwa jembe kwa ajili ya mifumo ya uwazi, wakizeeka wanaweza wakabaki na kabusara kadogo ingawaje wanaishi mijini.

Msipate shida na hakuna haja ya kumsikiliza na kumjadili Shivji wa sasa! Ukitaka kumjadili jadili yale ya kwake ya zamani. Ni bahati mbaya sana!
 
Kwa mara ya pili jana niliendelea ku-doubt akili ya huyu mzee,hakika magamba yamempa sumu mbaya sana kaathirika ubongoni anaropoka tu hana tofauti na lusinde.
 
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.

Jadili hoja aliyotoa Msigwa siyo Msigwa as a person. Je serikali inayokiuka haki za binadamu, inayokandamiza demokrasia, inayofanya mambo ya kifisadi, je kukataa kuitii serikali kama hiyo siyo uzalendo??
 
Kamati ya CHENGE inatokana na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, acha ukanjanja wako.

Kama ulibahatika kupitia universities kuna kitu kinaitwa ''Simbi au Desa'' yawezekana kabisa Chenge alikuwa anatumia Simbi ya Prof Shivji huko kwenye kuandika rasimu ya 3.
 
Ni aibu kumfananisha msomi wa kimtaifa na mla mbwa... ni kosa la jinai huyo mla mbwa unamfananisha na yule chizi wa arusha

Ni kosa la jinai kwa mtu aliyetoa mchango kama wako kuitwa GT, achilia mbali kuachwa na mods kuandika bandiko kama hili!!

Wahandisi wa ujenzi wa kichina wamemaliza mbwa na nyoka sehemu mbalimbali wanazojenga barabara na kazi zingine za ujenzi, je mmeacha kuwakilimbia (Wachina) na kuwapigia magoti waje nchini kwenu kujichotea rasilimali zenu??
 
Mwenzake haroub othaman anamcheki tu kutoka juu anvyojidharirisha kisa hela
 
Niliwahi kusema humu jf kuwa huyu anayeitwa Prof ameachwa kuingizwa kwenye ngazi zote za mchakato wa katiba, hata kama taaluma yake ilihitajika kwenye hili, kwa sababu maalum ya kwamba atakuwa anaiandika katiba akiwa nje ya bunge na huyu prof ndiye aliyeiharibu katiba pamoja na wenzake ccm. Inashangazwa mtu kama huyu kukubali kutumiwa na kujidhalilisha kiasi hiki. Ndio maana watu wanasema huyu 'mhindi' haiitakii mema Tanganyika.
 
Prof. Shivji alikuwa mwalimu wangu UDSM miaka ya 80 na alikuwa muumini mkubwa wa Marxism (wakati ule ukiwa msomi pale ulitakiwa uwe na fikra hizo). Kauli za huyu Prof. haziendani kabisa na Shivji tuliyemjua wakati ule. Kwa kweli nashindwa kuamini kuwa ni huyo huyo prof aliyetoa tafsiri hiyo ambayo hata mtu wa kawaida (layman) anaweza kuitolea tafsri sahihi. , Kwa ufupi tu, Shivji amehama kambi.
 
Mbangaizaji Msigwa uwezo wa kuelewa na kutafsiri mantiki ya alichokisema Prof Shifji. Ni wa kumpuuza tu kama wapuuzi wengine. Na hajui kuwa anachokisema kina maana gani katika Sheria za Uhaini.

Haya pia ni mawazo toka kwa Greatethinker! Ngoja tumjudge Msigwa kwa ulinganifu wa andiko la Prof. Shivji na kwake hapa. Bila shaka wa kubezwa ni Shivji
 
Shivji ni Profesa wa kipindi kile watu hawajui kusoma na kundika, kwa sasa ni bora akapumzika babu wa watu. maana sasa anakuwa kama Majimarefu. When I read his past work, I wonder if he really wrote himself, we ne to check if he was copying them, at his time it was diffucultb to check plagiarism but now we need to really go but and revisit his writtings. Anyway Msigwa sometimes is too intelligent, unajua kula Mbwa nako kunasaidia watu wanakuwa na akili sana.
 
Mbangaizaji Msigwa uwezo wa kuelewa na kutafsiri mantiki ya alichokisema Prof Shifji. Ni wa kumpuuza tu kama wapuuzi wengine. Na hajui kuwa anachokisema kina maana gani katika Sheria za Uhaini.

Kalikenye, vipi pia kuhusu hao watawala wanacho kifanya, cha kufisadi raslimali za nchi chenyewe kisheria kimekaaje? ama mkuki kwa nguruwe?
 
Shivji yule kajibhai anayelala na miwani au mwingine?
 
Back
Top Bottom