TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.
pamoja na uprof wake ila ni maamuma tu.
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.
Kinachoimaiza hii nchi ni unafiki na kuwaogopa watu kiasi cha kushindwa kuwashauri wanapokosea kwa sababu wanawadhifa fulan au tuna maslahi nao.
Kama Pro. kakosea naye anakosolewa kwa sababu si kwamba alikuwa anaongelea ndani ya fani yake ya sheria. \
Tuache ujinga wa kuogopa majina ya watu.
Kama baba yako ni mlevi anampiga mama yako kila siku bila sababu utanyamaza kwa sababu yeye ni baba?
INAUMIZA KWA SABABU HAYA YANASHABIKIWA NA VIJANA AMBAO WATAENDELEA KUWEPO MIAKA MINGI IJAYO,NI HERI WANGEKUWA WAZEE AMBAO TUNAJUA KIZAZI CHAO KITAKWISHA.
NAOMBA TUAMKE SI KUSHABIKIA NA KUONA NI SAHIHI KWA KILA JAMBO LINALOSEMWA NA MTU KWA SABABU YA JINA AU WADHIFA WAKE.
Peter Msigwa
Kwa HESHIMA zote, napinga mtazamo wa prof. Issa Shivaji, kuwa eti, uzalendo ni kuitii serikali iliyokomadarani. Na utaifa eti ni ukereketwa wa nchi yako hata Kama huipendi serikali. Kwa mtazamo huu, Nyerere hakuwa mzalendo kwa kuwa aliipinga serikali ya mkoloni? Vipi Mandela aliyepinga serikali ya kibaguzi kule bondeni naye hakuwa mzalendo? Vipi waganda walioipinga serikali ya Idd Amini? Vipi serikali Kama ya Mabutu wa DRC?
Kuna wakati kuichukia serikali serikali iliyopo madarakani ni uzalendo, serikali huja na kuondoka, ila taifa hubaki, serikali yoyote ambayo, inatumia vibaya raslimali za nchi yake, ikichukiwa ni uzalendo. Serikali ya kifisadi, inayoendekeza ujangili, wizi na uporaji wa Mali za umaa inafaa kuchukiwa kwa nguvu zote na huo ndio uzalendo.
Serikali inayokiuka haki za binadamu, inayokandamiza demokrasia, kuitii serikali Kama hiyo sio uzalendo. Ndugu Issa Shivji... Sijakuelewa hasa msomi Kama wewe. ..how would you say that? saw you on news yesterday (ITV).
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.
Ah, siamini. Kumbe kuna kuzeeka kwa aina mbali mbali. Shivj? Siamini kama anachakaa kwa spidi namna hii. Shivji, Vuma wasakara (Oliver Mutukudzi; 2006)Shivji hana kitu kwa sasa
Damn you and damn you again!! afadhali kuwa mhaini kwa serikali ya majambazi kuliko mnafiki kama huyu prof.Mbangaizaji Msigwa uwezo wa kuelewa na kutafsiri mantiki ya alichokisema Prof Shifji. Ni wa kumpuuza tu kama wapuuzi wengine. Na hajui kuwa anachokisema kina maana gani katika Sheria za Uhaini.
Prof Shivji ni mzalendo wa nyakati,sio wa muda wote
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.