Rev. Moses Maghembe ajitoa T.A.G

Rev. Moses Maghembe ajitoa T.A.G

Migogoro ya maslahi tu
Mtoto wa Askofu Mkuu Barnabas Mtokambali si ndio aliyemuoa Mtoto wa Askofu Lazaro mwanzilishi wa T.A.G na kufunga harusi kubwa sana ya kifahari? 🤣
 
Tena wanawapenda sana, ogopa mtu aliyeshika dini halafu akawa kwenye vyombo vya usalama. Anaona kama vile mambo anayofanya ni sehemu ya Ibada 😂😂😂. Akimuona Mdude anaona ni kama shetani lucifer kabisa
Hahaaaaaa so anamng'oa meno tu bila ganzi.
 
Haya Makanisa TAG, EAGT etc.wanafiki watupu wanajifanya wana wokovu kumbe wachafu watupu. Naishi nao wengine ni ndugu zangu nawajua nje ndani. Mchungaji anamiliki baa halafu jpil yupo madhabahuni eti anahubiri injili.Pathetic
Wewe unasali kabisa gani ili tuliseme na Sisi tutoe nyongo zetu😄
 
RC wamepunzishwa kwa muda.

Aririrriiii ariririririrrrriiiii
Piga bastola paaaaaaah!
 
Ulitaka aendelee kukaa na wahuni ili aambukizwe uhuni wao?
EAGT na TAG hakujawahi kutulia tangu walipotengana, halafu cha ajabu wote ni wa imani moja, misimamo yao ni ya aina moja. Kwa sasa ni pesa na kiburi cha uzima, kujiinua kuona huyu ana upako kuliko huyu, hilo litawatafuna, hata hapo kwa Maghembe wapo watakaojitoa na kuanzia lingine
 
Hayo uliyoyaorodhesha ni sababu tena zilizotamalaki sana,lakini kwa ishu ya Maghembe ni tofauti. Yeye hataki Injili ipotoshwe!
 
Hayo uliyoyaorodhesha ni sababu tena zilizotamalaki sana,lakini kwa ishu ya Maghembe ni tofauti. Yeye hataki Injili ipotoshwe!
Yesu alihubiri kwenye masinagogi huko huko ambako walikuwa tafsiri tofauti, hakuna mahali alianzisha sinagog lake, aliingia hekaluni kule kule ambako Mafarisayo walipotosha maandiko kwa manufaa yao.

Ilitakiwa asimamie msimamo wake wa injili anayoitaka yeye ili wao ndio wamfukuze, kitendo cha kuondoka ameingia kwenye mkumbo ule ule wa pesa
 
Back
Top Bottom