StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 5,624
- 5,905
Unaonekana huzijui hila za yule Mwovu kwenye kuua maono ya Mungu ndani ya mtu.Jifunze zaidi Mkuu!Yesu alihubiri kwenye masinagogi huko huko ambako walikuwa tafsiri tofauti, hakuna mahali alianzisha sinagog lake, aliingia hekaluni kule kule ambako Mafarisayo walipotosha maandiko kwa manufaa yao.
Ilitakiwa asimamie msimamo wake wa injili anayoitaka yeye ili wao ndio wamfukuze, kitendo cha kuondoka ameingia kwenye mkumbo ule ule wa pesa