Ha ha ha, Kongosho umeipata hii? Kama vipi uje kuthibitisha mwenyewe. Ehee we Fidel80 huyo Kongosho huwa anaipenda ipi?
Hahahaha zote zipo active
Fidel unataka kusema yeye huwa anamaliza haja zote mwenywe?
Fidel80 kasema eti anazo zote mbili,
mie nimesema bora aje kuthibitisha mwenyewe baada ya maombi ya Rev
wewe unaonaje?
Ataogopa kujitokeza, mfuate!!
Ataogopa kujitokeza, mfuate!!
Msubirini athibitishe mwenyewe au mtongoze utajua tu.[/QUOTE
Wee kwani sijipendi mie?
Nikizikuta zoe mbili si itakua taabu!
Ruksa kuonja kama karanga
nasaidia wote
wa mafuriko na wa jangwani
si ndo vizuri jamani?
usijaliWee kwani sijipendi mie?
Nikizikuta zoe mbili si itakua taabu!
Kwa kusaidia wa mafuriko upo sawa mkuu
usijidai huelewi
ntakupeleka vekesheni
ruksa kuchambua kama karanga tu
kuonja hadi ununue jumula
Kiukweli nazimia sana comments za Rev Fr Masanilo! Huyu jamaa anakipaji cha pekee kuchekesha! mzee wa suruali fupi fupi vipi? Usisuse jamvi bana,longtime kitambo! Rudi utuvunje mbavu bana!
Khaaa! Lawyer akinipa talaka nakufuata, ujue tuna mpango wa kufunga ndoa mkesha wa x'mas...Huyo kuanzia sasa hesabu shem wako wa ukwee nimesha vuka malengo mpwa.
Karanga kabla ya kununua shurti uonje