2) Vyuma kukaza
Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.
Kumradhi mkuu wangu.Kiranga, una hadhi kubwa sana hapa kwenye jukwaa, hii sio njia ya wewe kuifuata.
Comment of the day.Hili katazo la watu kunywa asubuhi halitufai kanda ya ziwa. Sisi ni wavuvi wa Samaki, saa kumi ndio tunaingia kutupa kokoro zetu nyavu na wengine nyavu za dagaa. Tunazivua saa nne usiku adi saa sita. Tunalala saa saba, nane hadi saa mbili asubuhi. Ukiingia baa japo masaa mawili tu unakamatwa, eti unalewa muda wa kazi! Nani kakwambia nchi nzima wanafanya kazi mchana?. Ndio maana tunaitaji serekali ya majimbo ili tutunge sheria zinazoendana na mazingira yetu. Bia tulishasahau sasa ni komoni vichocholoni!. Viwanda visiyumbe kwa nini?.
Ila muda mfupi wa kuuza vinywaji umeongeza kushuka kwa mauzo. Pombe kuanza kuuzwa saa kumi alafu saa tano baa zifungwe ni hatari sana ..TBL walikua wanabebwa na konyagi, viroba vimefungiwa mapato yamepungua. Naamini vitarudi tu siku moja
Ni ajabu kukataza watu wa majiji kunywa pombe kabla ya saa kumi!! Alafu kunywa kuanzia saa kumi mwisho saa tano! Hatari sanaComment of the day.
Huu utaratibu wa sheria ndogo ndogo kama hizi inapaswa ziwe zinatungwa kutokana na sehemu husika.
Hata India na Marekani wana sheria tofauti za kuuza vileo kulingana na jimbo husika.
Kiranga akili kubwa.Straight to ignore list.
Kutoka hapa sitaona unachoandika.
Mwana shuta shuta mwendo wa ngiri katikati ya kambi mbigiri huku nafukuza tetere wakati nimebeba manyanga kwenye kiwiliwili.Kiranga akili kubwa.
Nakukubali sana chief
Ila nasikitika hujanijibu PM yangu ya muda mrefu.
Vivyo hivyo kuendelea kuuza pombe baada ya saa 5 usiku wanufaika ni polisi, hakuna kesi inayofika kwa Pilato.Write your reply...kufungua bar saa kumi wanufaika wakubwa ni police, kichwa ni 50000, hakuna kesi ilio fika kwa pilato.
pombe tunywe kistaraabu ila ikafikia kama ndugu zetu wa malawi na zambiaWakuu,
Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.
Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.
Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.
1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.
2) Vyuma kukaza
Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.
3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.
Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..🤣🤣🤣
Na wale wanaofanya shift za usiku wanywe saa ngapi? Huu uongozi unatufanya guinea pig experiments na utakuta wengi tuuEti kunywa bia mpaka saa kumi, huu ujinga hautatuacha salama
Anayetumia lugha hii ni muungwana na hakuna jinsi isipokuwa ku accept apology. Na umechukua hatua muafaka. Shukran.Kumradhi mkuu wangu.
Kumradhini watu wote mlionipa hadhi kubwa, nimewaangusha. Si kwamba siheshimu hadhi kubwa mnayonipa, la. Naiheshimu sana.
Ila, naheshimu zaidi ukweli wa nafsi yangu. Sitaki kuwa mnafiki. Sitakikujisikia kumtukana mtu, halafu niogope kumtukana eti kwa sababu Kiranga nina hadhi kubwa nitaonekanaje na watu. Hayo simaisha yangu. Mimi napenda kuishi kwa uhuru wangu.
Naomba msinipe hadhi kubwa sana ili mtu akiniletea maneno ya kunya niweze kumharishia bomu la Hiroshima na kufuatiwa na la Nagasaki na kumaliza vita kabisa.
Huyu hayawani kiguluguja asiye ubongo walauti wa mgongo nimemuweka kwenye ignore list nisione anachoandika, ili kusudi nisimtukane matusi makubwa zaidi nikawachafua watu wenye staha zenu.
kwa pilato kesi haziendi kwa sababu mahakama zinatumia vifungu vya sheria, tamko la MKUU muda wake kisheria miezi 3 imeisha na hajatamka lingine.Vivyo hivyo kuendelea kuuza pombe baada ya saa 5 usiku wanufaika ni polisi, hakuna kesi inayofika kwa Pilato.
Mwenye bar 50,000 -100,000/-,
kila mteja anaekamatwa 10,000 - 50,000/-.
Tunashabihiana kwenye hii falsafa yako hapo juu mkuu ntafurahi kama utakuwa una binti nije nioe kwako aisee,itakuwa ni faraja sana kuwa na baba mkwe kama wewe,hata kama ndoa itakuwa ya bomani freshi tu.Kumradhi mkuu wangu.
Kumradhini watu wote mlionipa hadhi kubwa, nimewaangusha. Si kwamba siheshimu hadhi kubwa mnayonipa, la. Naiheshimu sana.
Ila, naheshimu zaidi ukweli wa nafsi yangu. Sitaki kuwa mnafiki. Sitaki kujisikia kumtukana mtu, halafu niogope kumtukana eti kwa sababu Kiranga nina hadhi kubwa nitaonekanaje na watu. Hayo si maisha yangu. Mimi napenda kuishi kwa uhuru wangu.
Naomba msinipe hadhi kubwa sana ili mtu akiniletea maneno ya kunya niweze kumharishia bomu la Hiroshima na kufuatiwa na la Nagasaki na kumaliza vita kabisa.
Huyu hayawani kiguluguja asiye ubongo wala uti wa mgongo nimemuweka kwenye ignore list nisione anachoandika, ili kusudi nisimtukane matusi makubwa zaidi nikawachafua watu wenye staha zenu.
Kuna watu wana matatizo yao ya kisaikolojia, wanataka umaarufu kwa kujibizana na Kiranga. Nikiwajua nawaweka ignore list tu, hata post zao sizioni tena.
Kwa muungwana mimi muungwana kupita kipimo.
Na kwa mwanaharamu mimi ni hayawani.
Hii ni kanuni kubwa sana, hata kwenye diplomasia za kimataifa ipo.
Inaitwa "reciprocity". Kwenye physics ni Newton's Third Law of Motion. Every action has an equal and opposite reaction.
Daima usitegemee kunivunjia heshima, halafu nikakuchekea.
Ukiendelea kuniheshimu Chief, nina heshima sana. Yani heshima itaweza hata kuvuka JF tupange mipango ya maana ya maisha nje ya JF, tupeane channel za kutoka, tuelimishane, tukae vikao vya kufurahi, tuuguzane, tuzikane.
Mtu anayeniletea maneno ya kunya sina haja ya kumuheshimu, hata kama mtaona matusi si hadhi yangu.
I am a licentious libertine, debauching debonair. With perfect pitch and what the French call "savoir faire".
Kutukana si tatizo kwangu.
Tatizo ni kutukana matusi yanayofaa, kwa mtu anayefaa, kwa muda unaofaa.
Ndiyo maana huwezi kuona nimetukana mtu anayejiheshimu, bila sababu.
jamaa yangu malawi na zambia hali ni mbaya imagine kampuni iliyokuwa inajenga mwendokasi hapa dar imeenda kujenga kms 45 but wamepoteza gari 20 mostly trucks.muda wote jamaa wana alcohol kichwani,very dadKweli ila waangalie vizuri haya makatazo