Tumerudia u communist kwa kiwango kikubwa . Washauri pia wamemuachia kama alivyosema siku anaongea na wastaafu Ikulu. Kwamba aachiwe hata akiboronga mtamuuliza akimaliza kipindi chakeWakuu,
Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.
Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.
Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.
1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.
2) Vyuma kukaza
Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.
3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.
Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa msingi huo hata likizo tutafute sehemu kwenda visiwa vya Turks and Caicos huko.Eti kunywa bia mpaka saa kumi, huu ujinga hautatuacha salama
Mpaka upewe taarifa rasmi wewe ni waziri wa mipango, fedha, viwanda, waziri mkuu au makakamu wa rais? Jitaje ili tukujuwe.Wakuu,
Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.
Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.
Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.
1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.
2) Vyuma kukaza
Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.
3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.
Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..🤣🤣🤣
Huku t/himba tunakata maji kuanzia SAA kumi jion. Hadi. Kumi alfajiri ##mitaa ya CCM##Wakuu,

Hii ipo practically, au?!!1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.
Hapa umekosea kumzalilisha mama yake mzaziWacha kunifananisha na vitu vya kijinga.
Siku nitakayoacha mlango wazi makusudi ukute nimemuinamisha Mama yako namfirigua doggystyle ndiyo utakaponipa heshima yangu baba yako wa kufikia.
Dili nae yeye mama zetu ni wapendwa wetu na ndio baraka zetuYeye kaanza. Mimi nimemaliza.
Unaelewa kwamba sijawahi kukudhalilishia mama yako mzazi?
Unaelewa ni kwa sababu sijaona haja ya kufanya hivyo, kwa sababu wewe hujanidhalilisha mimi?
Uchumi unaangushwa na Jiwe, matangazo lazima yashuke.Hahahah Kiranga bana kumbe na hii sekta ya chumbani nawe upo duhhh
Ila bana nashangaa sasa hivi tena watu hawazitaki Kirikuu wanakunywa ile ya buku mbili. Kitu kingine nashangaa matangazo mbona hakuna na vipindi vya ku sponsor hii michezo badala yake ni hizi betting. Jana nashangaa nakutana na mpya inayoitwa,"SUPA TANO"
Ulevi wa sasa ni kubetWakuu,