Retirement Age - Do we have Legal Requirment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Retirement Age - Do we have Legal Requirment

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Marvin, Nov 5, 2011.

 1. M

  Marvin New Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenzangu,
  Nafahamu Umri wa retirement wa Public Servants ni 60 Years, Nauliza, do we have a legal retirement age as a legal Limit- in the Act / Law?

  Naomba usaidizi
  Marvin
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,333
  Trophy Points: 280
  Hakuna legal requirement but ni kanuni kwenye standing orders kuwa ukomo wa pensionable utumishi wa umma ni miaka 60. Baada ya umri huo, unaweza kuendelea kwa mikataba ya miaka 2 isiozidi mara mbili.

  Hata hivyo limit hiyo haihusu teuzi za rais kwa nafasi ambazo sio za utendaji, uwaziri/ uenyekiti wa bodi, na ujumbe kwenye tume zozote.
   
Loading...