retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.
Kwi kwiiiiiiiiiiIiiiiiiii..... Kwelii humu kuna watu hodari wa umbea.. snowhite nahisi wewe ni mwenyekiti na msaidizi wako ni Kongosho.

Nimechekaaa hapa hadi natokwa machozi.. Chezeya summary ya story weweee. Eti aliwahi ki- date akaona jamaa haji AKAFAULISHA!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Nimekukubali.
Njoo kipande ile usaini mkataba wa kunidaia pesa yangu kwa bro The Boss.
 
Last edited by a moderator:
Umepitwaje mtanange round ya 3

Naona paka mweusi katolewa kwa knock out ya taito ya dada mstaafu.

Kaangushwa chali.

Mwenzangu nasikitika kukosa pambano, ilikuwa zamu yangu kupitia sokoni leo.
 
Pailot alinidondosha pale buguruni malapa

Alihofia ntmpindua
Yani wewe Kongosho nahisi ulihusika kusaidia shughuli ya mtongozo lolz..

Palipokushinda tu.. Ni planning ya hyo first visit...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ya tena kubwa tu,kuona tu madini ri utajiri achilia mbali kumiliki.ah ngoja me nikacheki mechi

Mi ndo nacheki apa naona barca wanachezea mikono na refa anakubali jeneneke
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…