Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 234
- Thread starter
-
- #41
mfa maji haachi kutapatapaSanda-ka-lawe, Amina!
Mwenye kupata!...Apate!
Mwenye kukosa!.....Akose!
Kipapatio!....cha kuku!
Kuku gani?......Pilot!
Analiaje?....'nilikuwa nje', 'nilikuwa nje'
Kweli ilikuwa Sanda-ka-lawe. Umeenda Steers kwa appointment na Black Bat, ukaishia mikononi mwa looser mwingine. Inaonesha huna chaguo, yeyote ambaye angekuwa mbele yako. I wish ungekutana na Heavy Duty Bumpkin Billionare, saa hizi una mimba kudadadeki zako
hakuna sehemu ya kuweka picha ya mtu huku. o kam ipo anza kuweka weweWeka basi picha yako retired sister!
hONGERA SANA BIBIE KWA KUMPAGAWISHA CLASSMATE.yap mahari ishatolewa
.
Nilikuona kwenye uzi wa black bat uko vere aktivu
karibu sanahONGERA SANA BIBIE KWA KUMPAGAWISHA CLASSMATE.
mambo madogo mbona?
Saa hizi niko home namsubiri wife atoke kazini.
yap mahari ishatolewa
Haha goma limeanza upya mmmh yangu macho
Mpaka dk hii matokeo ni 1-1
jamaa ananipenda kweli.anaogopa nitaibiwaWuuw.......that was quick......shiiiiiish.....
Shangazi mpana wewe..Kama gagulo la mtumbani
sijui vizuri au posaHeh! Mahari au mahaali?
Saa hizi niko home namsubiri wife atoke kazini.
tuliza munkari bana,inawezekana kweli upo mzuri tu,si kama alivyokuelezea,kwahiyo sioni sababu ya kuwekeana ligi na blackbat,yawezekana alikua anatania tu.lakini hivi ukidate na mtu lazima muwe wapenzi?kwa vile nilikutumia picha zangu weka hapa watu waamue!