ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
tumia Acronis true image , na uweze ku restore entire computer pamoja na programs na settings in about 20 minutes only.
Procedures
1.format computer yako (kama window ina matatizo/virus/corrupt)
2.Install programs zoote unazotumia(unazohitaji)
3.sasa Weka CD/DVD ya acronis , and Boot your computer with ACronis.
4.select "Create Backup" then select "New Full Backup"
5.Chagua location ya ku-Save hiyo Backup(System Image) na iwe katika partition nyingine sio partition yenye Windows.
6. Click Proceed na uache Backup creation ikiendelea hadi mwisho. itachukua muda kulingana na ukubwa wa programs zako ulizo Install.
Baada ya kumaliza kuapata Backup file lenye extension ya .TIB yaani backupname.tib
*** hapo umemaliza kutengeneza backup utakayoitumia siku computer yako imecorrupt**
Namna ya ku-Restore kwa kutumia backup image uliyoitengeneza
1.Boot na CD/DVD ya acronis
2.select restore, Entire partition
3.Browse ile backup image uliyoitengeza.
4.select location ya kuRestore (pale unapoweka windows na programs zako)
5.click restore, next next.
na uiache computer yako kwa dakika kadhaa kama 20minutes hivi. na itakapowaka itakuwa na programs zoote zilizokuwa ulizoInstall mara ya kwanza. Hata kama ulibadilisha Hard disk. Njia hii ni nzuri kwa wale watu wenye programs na settings nyingi sana ambazo zinachukuwa muda kuzirudisha endapo computer imeCorrupt. pia ni sawa sawa na kuformat computer na kurudisha kila kitu kama awali kwa muda mfupi. angalia baadhi ya picha hapo chini.

Baada ya kumaliza restoration , kila kitu kipo intact