Dah kumbe ndiyo huyo, nilikuwa naonaga id yake mara chache.
R.I.PMimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina ππ..
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira , lakini leo Mungu amempenda zaidi.
π₯
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
π₯Japo sijamjua, ila apumzike kwa amani, kwa kuwa umesema alikuwa mtu mzuri, mpenda amani, apate pumziko la milele huyo ni mtu mwema, ila kama alikuwa mbogamboga, anasema mama mi5 tena, October anatiki, aende kuteseka tu hakika huyo hakuwa na utu.
Kaza moyo ili ufike salama salmin, usi panic maana msimba mmoja waweza sababisha mwingine.Niko njiani naenda msibani nikifika nitajaribu, ilaa nna maumivu sana .
Kitambo alikuwa Mdau mkubwa sana wa MMU, na Chit-Chat kimtindoApumzike kwa amani.
Id yake ilikuwa inaonekana onekana sana miaka ya 2018