Dah!!!!! Mwenyezi Mungu aipumzike Roho ya dada mpendwa wetu Regia Mtema kwa Amani. Mungu wangu!!! Sisi ni Mavumbi na mavumbini tutarudi. Dah!!! Pumzika kwa amani mwana wa Pakaya.
Kwa sisi Wana Kilombero kwa kweli Tumempoteza Shujaa /Kamanda wetu wa Mapambano .
Ambaye alikuwa mstari wa mbele katika harakati za ukombozi wa Wilaya yetu.
Mwana wa Pakaya, pumzika kwa amani, hatutakoma kukulilia
sasa uhuu mguu jamani alikua an drive vp,mafuta na brek alikua anaknyaga vipi?vitu vingine ata sisi pia tunaweza tukawa tunachangia kwa namna moja au nyingine bana aghaaaa