Rest in Peace N. Mandela. Rest in Peace Kiwatengu

Rest in Peace N. Mandela. Rest in Peace Kiwatengu

its like nimekufa nae...

just say rest in peace to us..

R.I.P Nelson Mandela
Ni kweli kabisa usemalo aisee kiwatengu! Hiki kifo kimenistua sana kama siku ile nilipofiwa na baba yangu mzazi mwaka 1996. Kwa muda mrefu nilikuwa namchukulia N. Mandela kama baba yangu na baba wa waafrika wote!
 
Last edited by a moderator:
jamani kumbe ni kweli amekufa nilidhani masihara ya hapa jf
kumbe its true MADIBA ametutoka hivi hivi au walikuwa
wameficha ukweli kama tulivyofichwa sie watz kipindi kile
cha baba yetu kututoka ninni maana ni muda mrefu
yuko hoi hospitalini? Nin nini jamani Afrika kimetupata?

R.I.P Madiba Mandela
 
Ni kweli kabisa usemalo aisee kiwatengu! Hiki kifo kimenistua sana kama siku ile nilipofiwa na baba yangu mzazi mwaka 1996. Kwa muda mrefu nilikuwa namchukulia N. Mandela kama baba yangu na baba wa waafrika wote!

Pole sana mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
RIP Madiba
Wenye busara, wavumilivu na wasamehevu wanazidi kupungua Duniani.
Ulimwengu utakukumbuka.
 
Ametimiza wajibu wake acha apumzike.Thanx god kwa zawadi hiyo Africa,amevipiga vita vilivyo vizuri,alikubali mateso,manyanyaso,vitisho kwa ajili ya waafrika!
Be ware Romans,hawa si ndo watakatifu zaidi ya hao mafala akina francisco,maria,paulo,etc.
 
Back
Top Bottom