PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 37
Nimepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Comrade Mchungaji Christopher Mtikila. Nimeona picha za ajali na mwili wa marehemu. Ninaamini kuwa ni ajali na hakuuwawa kwa vile dereva alikuwa anaendesha kwa mwendo kasi na Comrade hakufunga seatbelt. Naona alitupwa nje ya gari ilivyokuwa ianpinduka. Ninaamini kuwa Comrade Mchungaji Christopher Mtikila, yuko mbinguni. Usoni anaoenekana na amani kabisa. Poleni sana wanafamilia. Mungu ailaze roho ya Comrade Mchungaji Christopher Mtikila mahala pema mbinguni. Amen. Rest in peace my friend.