Rest In Peace, Dad

Pole sana ndugu,mwenyezi Mungu awafanyie wepesi kipindi hiki kigumu.
Mbele yake nyuma yetu tu safari moja.
 
POLE SANA KWA KUFIWA NA BABA,MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL PEACE,ingawa nimeshangaa courage ya kuandika umeitoa wapi,huyo lazima ni baba yako wa kambo wallah!
 
Poleni sana ndugu.

Aisee kuondokewa na mzazi,Mungu amlaze pema peponi.
 
POLE SANA KWA KUFIWA NA BABA,MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL PEACE,ingawa nimeshangaa courage ya kuandika umeitoa wapi,huyo lazima ni baba yako wa kambo wallah!
Mkuu usishangae,kwani wewe bado kuona watu wakilia huku wakijirekodi tuclip twa kuweka status w'app?
 
It's like being in hell today I can't imagine my life without you dad
Pole dorin, usilie sana kazi ya mungu, wote tulilia hivyo , lakini hakuna tunachoweza kubadilisha, RIP daddy
 
Pole sana mkuu, kila nafsi itaonja umauti. Mbele yeye nyuma sisi.
 
Pole sana kwa msiba.......Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…