zakayoyoung
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 140
- 39
Wakuu nimejaribu kutengeneza key batan na kwa kutumia resistor k22na k100 na k47
K22 inatumika katika Ku next pia volume-
K100inatumika katika kurudisha nyuma pia volume+
K47 inafanya kazi ya kubadili sauti zaidi ya 6
Ila ningependa kama kuna uwezekano wakuu munieleweshe niweze Ku connect fm pia maana system hii ni ya sd card only
Wakuu nisaidieni