Resignation letter

zayat

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
337
42
Dear Boss:

I'm resigning effective immediately!
The reason for my resignation is that I cleaned my aunt's garage this morning before coming to work and realized I don't feel like working anymore.


See for yourself...
GetInline.aspx

 
nitakachokifanya...kuwaona na kuwasaidia waliopo katika shida zao mbalimbali....kuukuza ufalme wa MUNGU (evangelism).....kuanzisha "clubs & groceries" za watu wa MUNGU, na mengineyo mengi
 
Ningejenga kanisa pale Gongo la mboto kuwaombea wale wote waliopoteza wenzi wao wakati wa mabomu.
 
Michango hii inaoenesha karibu wote ni wezi, ila tu hawajapa nafasi. Kwani huwezi kusafisha hiyo gereji na kuziacha kama zilivyo?
 
Mimi ntaanza kufanya picnic kila siku kuanzia siku hiyo hadi mwisho wa dunia
 
Aaaaah!!!!Niwe tu mkweli mi nitaweka godoro yangu hapo juu ya hiyo mambo wenyewe wanaiita uncountable money na nitakata hapo roho poooole pooole ....najua lazima nitakufa kwa shinikizo la damu tu.Hela kama hii usimuonyesha mtu ghafla anaweza kufa ati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom